Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Falling in love... I believe that for many of us it's easier to fall IN love when we out of relationships and OUT of love when we are in relationships. Kabla ya kumuweka mtu mikononi sauti...
14 Reactions
67 Replies
5K Views
Binafsi niliachana na mpenzi wangu niliyeishi naye Kwa zaidi ya miaka mitatu na tuliachana baada ya mikwaruzano mwaka Jana June. Kiukweli maisha niliyoishi ni mabaya Sana bila mwanamke yaani...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wana MMU, Leo si siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu wa kuongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema kabsa. Mwenyezi Mungu awaomgezee wazazi wangu miaka mingi na heri...
3 Reactions
6 Replies
410 Views
1👉Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??. 2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake?? 3👉Je kwa Sasa amekuwa active...
13 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za wakati wana jf. Naomba ushauri wenu tafadhari. Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa sasa ninaishi dar, elimu yangu ni chuo kikuu, Nina kazi na kipato changu ni cha wastani. Katika maisha...
0 Reactions
121 Replies
14K Views
Anyone yuko familiar with kuryans?
1 Reactions
114 Replies
13K Views
Habari wana jf, Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Anadai anaona soni Anataka taa zote za humu chumbani eti zizimwe Ndio, zizimwe kabisa, tubaki kwenye giza tii ndo yeye avue nguo[emoji15] Yani hata TV izimwe maana na yenyewe ina mwanga, na...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Wasalaam jamani. Kuna watu ambao mahusiano yao yametawaliwa na "baby come back/baby please stay" miaka nenda rudi. Kuachana na kurudiana ni jambo la kawaida kwao maana kila mmoja anamjulia...
13 Reactions
67 Replies
3K Views
Na. John- Baptist Ngatunga ___________________________ Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa...
10 Reactions
75 Replies
5K Views
Mimi ni binti wa miaka 33, baada ya kumaliza chuo nimekua nikiishi kwa Kaka yangu huu ni mwaka wa kumi sasa. Mwanzo nilikua kawaida na wifi yangu, lakini baada ya muda nilijikuta tu na mchukia...
12 Reactions
107 Replies
9K Views
Nasikitika kulisema hili. Ila wanawake wa rafiki zangu ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, sasa wanataka kimapenzi. Wengi wamekuwa ni wapweke licha ya kwamba wanajimudu kiuchumi, wananiomba...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume...
100 Reactions
215 Replies
18K Views
Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu. Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Kila siku utasikia wanawake hawapendani blah blah blah....kama wanaume mnapendana sana mbona kwenye "THREESOME" huwa haongezwi mwanaume??? 😆😆😆 Just joking guys....juuuuuuuuust joking😁😁 On to...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu inayosema kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wanawake wengi. Asilimia kubwa ya wanawake wamepitia katika mahusiano na katika mahusiano hayo...
35 Reactions
226 Replies
12K Views
Kama somo linavyojibabadua Masahihisho Naomba kujua namna bora kumlea mwanangu
4 Reactions
9 Replies
537 Views
Mambo vipi. Masela wasome hii watapata kitu Kuna mwana hapa mtaani ana mwanamke wanaishi pamoja kama miaka miaka mitatu sasa. Wana mtoto mmoja wa miaka miwili. Ila mwanamke alishawai kuwa na...
19 Reactions
39 Replies
2K Views
Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje? Kaa tayari upate kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku...
2 Reactions
6 Replies
524 Views
Habari wana JF humu ndani natumanini kila mmoja ni mzima wa afya kabisa Bila kupoteza muda niiende moja kwa moja kwenye kisa changu cha kweli kilichonitokea na nitajitahidi sana kugusia mambo...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom