Unajua hii nchi tatizo la msongo wa mawazo limewakumbuka wengi sana eti mtu anasema kataa ndoa wakati yeye tu kupatikana kwake ni moja ya tendo linalo unga ndoa.
Au mwenzetu ulichanganywa maabara...
Yaani pap mmeo anakuja ili tutokane na hii aibu lala tu na rafiki yangu atupatie huu mzigo ili maisha yaenda yasonge kweli utakubali ili uwe na hela na majigambo town nahuku unabuzi ambalo nimumeo...
Siwezi kufanya kitu kinachopinzana na instinct yangu siwezi kulazimisha jambo, kulipia 4m@ kila mwaka kwa watoto wawili wa mke au previously (singo maza), wenye majina ya mwanaume aliekuwa...
Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja,
Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha,
Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi,
Ishi na mtu kama ulivyokutana nae,
Tutiane tu ila...
Mzazi/Mlezi umejifunza namna ya kumpa Mtoto wako Huduma ya kwanza endapo akiumia au kupata changamoto ya Kiafya?
Ni muhimu kujifunza namna ya kutoa Huduma ya Kwanza kwa Mtoto sababu inaweza...
Kama mnavyoelewa wanawake na umbea plus kurushana roho ni kama pete na kidole so unapomchukua mchepuko mwenye kumjua mkeo tambua atamdharau sana huku akimsema vibarazani kwa michepuko wenzake na...
Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana.
Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto...
Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.
Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?
Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua...
Habari wakuu,
Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume.
Sio kutaka kuhudumiwa alafu...
Wakubwa nawasalimu sana.
Nimejikuta nimezama kwenye mahusiano na huyu binti ipo hivi, huyu ni binti alikuja kufanya field hapa ofisni kwetu ni binti wa 1998. Tukaanza mahusiano kiukweli nmetokea...
Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae".
Nifanyeje ili nmpate wakuu?
Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.
Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.
Mbona wanawake miaka ya 2000 down...
MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi...
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.
Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss...
Mwanaume ni tallest na mwanamke ni shortest kwa hali ya kawaida hivi wataishi kwa furaha au watu watawashangaa kila daily? Pimbi na Zena .🤣🤣🤣🤣 nipo serious .
Unakuta umefall in love na kitu...
Nimekua na tatizo hili lakupenda kufanya mapenzi kupita kiasi.Yaan mi hata tulale tunachakatana sawa tu.
shida ni kua nikikaa muda bila kufanya mapenzi kuanzia miezi miwili Nahisi kichwa kinataka...
Kuna mwanadada niliyemuita ghetto for the first time baada ya mawasiliano ya muda mrefu, akaja na mwenzake ili nisipate nafasi ya kumla. Wakapika wakala Wakati wa kuondoka kwa kuwa huyu...
Ameandika Godbless Lema!
Kuna kundi la vijana wana behave kama wako ktk kundi la watu wenye maisha ya kati lakini ukweli ni kuwa wana deal na maisha yao ya kila siku kwa njia ngumu sana na aibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.