Jambo?
Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia
Ama kweli mapenzi ni...
Ndiyo ilivyo kwa mwanamke wa leo hakika anadanganyika kirahisi mno mbele ya mwanaume.
Sio ajabu kwa siku hizi inachukua juhudi kidogo sana kwa mwanaume kulala na mwanamke.
Mwanaume yeyote ikiwa...
Kwema wakuu,
Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu...
Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako.
Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie...
Kuna wanaume wanahisi wanawake hawaumii sana kama wao kuhusu suala la usaliti, ukweli ni kuwa:
Siku mkeo anakukamata na usaliti hiyo ndo siku umemtafutia mchepuko.
Mke wangu akijafanya ujinga...
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana...
Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma).
Mwanaume akaondoka kachukua...
Usuli
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Wakati mwingine wanawake hutamka maneno mbele za waume/wapenzi/michepuko ambayo wao hudhani kuwa yanawajenga kumbe yanawaanika bayana...
Unaweza kuwa umemuita au kajileta mwenyewe kwa vimaneno vyao "baby nimekumisi"
Sasa mpo getho usiku wote mwenzio hana habari nawewe. Yeye yuko uko Instagram, Facebook na Tiktok. Anasurf tu huku...
Wakuu kwema ?
Kuna jambo huwa linanishangaza saana yaani katika familia yetu au baadhi ofisini nilifanya jambo linakuwa linaongelewa sana liwe baya liwe zuri yaani maneno yankua hayaishi...
Habari..
Nimetamani kushare kuhusu mwanaume limbukeni.
Yule ambae anahisi akikupa ela ndo kamaliza kukupenda na kukujali. Ambae mali yake kila siku inaliwa na vijana wa mtaani, wachora kucha...
Wana jf nawapeni hii thread ni very critical
Tulikutana na that guy o level mimi alikuwa mgeni mimi ndo niliye mpokea skonga na mtaani Kwa hiyo huo ndo ulikuwa mwazo wa urafiki wetu ilifikia...
Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi.
Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na...
Najua kuna watu watabisha sana ila mwanaume hata kama mwanamke wake ageuze mahaba na yawe kama ya wacheza pornograph lazima tu mwanaume atafata tu hurka yake ya kucheat.
Hata kama bado aoe wake...
Huwa najiuliza hii inakaaje yaan kila rafiki au marafiki nao wapata wanataka mashindano na vita namm.
Mwanzo nilijua ni coincedence baadae nilipofanya Tathmini nikagundua ni pattern kabisa kua...
Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza?
Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha...
ANGALIZO: HII NI SIMULIZI YA KUFIKIRIKA, NIMEITUNGA MIMI MWENYEWE ILI KUJIPIMA NAMNA YANGU YA UANDISHI. NIMEONA NIWEZE KUSHEA NA WADAU ILI KUONA KAMA ITAKUBURUDISHA, AU LAA, SO UKIVUTIWA NAYO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.