Mapenzi ni upuuzi tu ngoja nifocus na maisha, kiukweli nimefunga nimeomba kwa Mungu mke wangu siku akifika nitamuona tu, yaani sitatumia nguvu nyingi kama ninayotumia kwa huyu binti.
Kiukweli...
Hello wanachama wa jamiiforums leo ningependa niweke mkasa wangu baada ya kuwa msomaji wa humu ndani kwa muda mrefu.
Niliwahi kuwa na mke hapo miaka ya 2018 hadi 2021, pia nina mtoto moja ambae...
Habari wadau.
Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia.
Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission.
Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana...
Ninae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake.
Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata...
Habarini wanajamvi.
Naomba mwenye tiba na shida yangu. Nikiwa na mke wangu sifikishi round 2. Hali hii inanitesa na nikajihisi ni mgonjwa wa nguvu za kiume. Hii ilinifanya nibakie njia kuu...
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu
Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke...
Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia...
Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code...
Wanajamii mko pouwaa.Kuna swala la kiufahamu kuhusu mtoto anayepatikana mzazi (Baba)akiwa mzee na ambaye anapatikana mzazi (Baba)akiwa kijana je kibaiolɔjia wanawezatofautiana ?Ni swala ambalo...
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022.
Naamini mmeanza Mwaka salama.
Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa.
Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi, ila...
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...
Kwanza haya maeneo yana wanadangaji...
Wakuu
Leo nikiwa bize sana dukani, nakuja kustuka Simu yangu ya private ina missedcall namba ngeni ya tigo inaishia na 900, ikabidi kuipigia haraka.
Simu imepokelewa, sauti ni ya wife, namuuliza...
Huyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa.
Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi...
Previous Emojis kwenye simu nyingi utakuta kuna manyunyu matatu ya maji likifutiwa na biringanya
huwezi kuta emoji za muda (time is money). huwezi kuta emoji za vitabu (kutoa ujinga), n.k
Emoji...
Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6.
Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini...
Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata...
Haya mje mnipe mbinu za kutumia nisipate mimbaa
Jamaa ataingia usiku sana tupo tunachart hapa nimemuuliza kuhusu sex kasema we lazima tufanye nikampa mashart ya kupima na kutumia kinga yaani...
Nahisi kuchanganya sana, hukumu tar 8 mwezi huu, shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye bali naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na katika ukweli amenikuta...
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.