Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu...
Yani.
Uko On point kila mahala.
School fees
Family and relatives support
Daily chores..domestics upo.
On Bed even better..
Yani you are perfect.
Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya...
Umufia kwenu wakuu,
Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka...
Shalom
Hodi hodi jumapili!
Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au...
1. MKE SHEREHE (party wife)
Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff, birthday, graduation, mara kitchen party. Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya...
I hope y'all are doing just fine, and so Do I.
Straight kwenye mada...
#1:
4yrs ago kuna mtu (alikua muimbaji wa kigango fulani) hakua na mke wala kuishi na mtu yoyote...He was a loner. Akawa...
Mada nyingi kwa sasa ni zile zinazowaandaa vijana wa kiume kukataa ndoa kisa matatizo yanayosababishwa na jinsia ya kike.
Hata wanawake nao wana ajenda yao yao ya pata mtoto lea mwenyewe maisha...
Habari!
Hivi ni kwanini ukiwa unafanya mapenzi unakuwa huna hasira? Naongelea kwa wote, wanaume na wanawake.
Nimefanya tafiti kwenye groups kadhaa za akina mama. Wakakiri kuwa, wakiwakosea waume...
Nilikuwa najipa moyo kwamba unaweza kupata mwanamke mwenye sifa angalau 80% ya vile vigezo muhimu vya kuwa mke bora. Nikasema kama wapo wanawake wazuri wa sura zenye mvuto, lakini kwa nini usipate...
"Jamani naombeni mnishauri, mimi nimeoa na ninakaa kwa baba wa mke wangi. Sasa nimegundua mke wangu kanicheat, nataka nimfurumushe hapa nyumbani, sijui nyie mnaonaje?"
Habari wakuu.
Leo nimekumbuka kisa changu na mdada flani pale Arusha mitaa ya mbauda, kirika a pale.
Kipindi hicho nilikuaga machinga, sasa sometimes nilikuaga napita gate kwa gate huyo dada...
Kuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine...
Sio kwamba nataka uhusiano usio na dosari, nafahamu kuwa hilo haliwezekani. Nataka mtu ninayeweza kumuamini na ambaye hatakua akinidanganya kimwili au kihisia.
Kila mtu anahitaji mtu ambaye...
Shalom
Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.