kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 faida kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki...
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Ebana kuna kamanzi/kadada kammoja kameibuka huku mitandaoni anaelekeza namna ya kunyandua ndizi na apple ni mkali balaa, ana vionio kama vyote wenye video ya visa...
Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?
Nashauri hivi, tembelea ndoto yako, usiforce mambo kwa sababu fulani.
Maisha ni wewe, ukiumia ni wewe, ukifurahi ni wewe! Usijali maneno...
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia...
{Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda...
UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA
1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 %
2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18%
3...
Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe...
Voda huu mtandao nlikuwa nauheshimu ila Leo nimeona upuuzi unaonifanya nisiwaamini tena Hawa wapuuzi,wiki iliyopita Kuna tangazo Lili pop up kwenye cm na wakati naingia Ili nilicheki Nashangaa...
"After hustling all your life just to become successful, it will be a taboo to settle for a woman who used her prime jumping for one bed to another while you were busy grinding".
"Kings, settle...
Ninawaheshimu sana wanawake waliopewa mimba na mtu waliempenda na kwa bahati mbaya wakaachwa na baba wa mtoto huyo. Ninawaheshimu sana wanawake hawa kwa sababu ni mtu mwenye akili timamu tu ndiye...
wanaume,popote mlipo,hakuna pisi kali kuliko mkeo,ndio maana ukamuoa.eti kwamba huko nje umetembeatembea na kukutana na pisi kali,huo ni umalaya tu,kwamba umemtamani tu.
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na...
​Asalaam aliyekhum wana MMU,
Nipo hapa mbele yenu kuwakumbusha kitu kimoja muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku hasa yale ya kimahusiano.
Najua wote tunajua thamani ya mapenzi na...
Hii inanikuta sasa ..
Kila nikitoka out "sio kwa nia ya kula mzigo" nazungumzia kufahamiana zaidi na pisi mpya utata kwenye kwenye kupiga stori..
Mara nyingi nabakia tu 'nambie mrembo'...'mambo...
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate...
...imewahi kunitokea mara 2, nitaelezea moja.
Weekend moja kuna binti nilikua namfukuzia tangu mwaka jana. Sasa akawa kakubali tukafanye ila akasisitiza nibebe zana. Wasiwasi ukanibip ila ile...
Unajua nini kuhusu uadui?
Unajua nini kuhusu urafiki na unajua nini kuhusu biashara?
Hebu jiulize mechi ya SIMBA VS YANGA kisha mtu kama labda Walter Harrison meneja wa Yanga akauze siri za...
Natumai mu wazima wa afya, bila kuchelewa leo nimekuja na naombeni ushauri juu ya hili jambo lililonitatiza kwa muda mrefu sana.
Mimi ni mwanaume kamili mwenye nguvu za kiume, jambo ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.