Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huenda wewe ni miongoni mwa vijana wanaokaribia kuoa au kuolewa lakini haulewi ni mtu wa namna gani wa kuingia nae kwenye ndoa. Mbali na kuangalia uzuri wa sura, umbile, kipaji au hali ya...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
-Ni aibu na fedheha kuishi na mwanamke ambaye wakwe zako wanajua kuwa anakuzidi uwezo. - Ni aibu na fedheha kupewa zawadi ya kiwanja na wakwe zako siku ya send off/Harusi. - Ni aibu na fedheha...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai... Ni mrembo jamani Yuko natural Mtoto mrefu kama ngusoo Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻 Macho yake...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Mtu unaamua umuonee tu huruma ilimradi na yeye asitirike, cha ajabu unakutana na lugha chafu kutoka kinywani mwake. Ni mzuri baasii, basi tu. Shepu hakuna, sauti kama ya mwanamke aliyetokea kijiji...
1 Reactions
7 Replies
534 Views
NAKUPENDA WEWE SHANI Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia, Kila napokuoneni, nashindwa kukuambia, Nikwambie neno gani, ujali zangu hisia, Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia. Watembea...
0 Reactions
11 Replies
688 Views
NAMPENDA PRISKA Nampenda Priska, shairi namtungia, Mwili umetakasika, hakika anavutia, Sauti akitamuka, hoi mie nabakia, Nampenda Priska, shairi namtungia. Macho yake ya gololi, Mungu...
0 Reactions
7 Replies
372 Views
PENZI LA MWANA WA BOSI (sehemu ya kwanza) 1 Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Kwema wakuu! Kama swali linavyoeleza. Kwa upande wangu naona sisi wanaume ndio mabingwa wa kuharibia wanawake maisha. Kwenye wanawake kumi basi tisa wameharibiwa maisha na wanaume. 1. Kutia...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona...
19 Reactions
166 Replies
7K Views
Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati, Tulikutana mtoni, kuipanga mikakati, Halikuwa la kihuni, lisilo la kisaliti, Penzi letu la zamani, lilikuwa ni la dhati. Tulikutana porini, tunapookota...
1 Reactions
4 Replies
566 Views
Ni nadra sana mkaka aliyetulia kumkuta anatapanya hela kwa kutoka out na mdada asiye mkewe. Ila kuna hawa wakaka wahuni wanaojua kucheza na akili za wadada wakurupukaji. Huwatoa out na kuvinjari...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na...
55 Reactions
362 Replies
14K Views
Habari za muda huu masista duu, mabrazamen, mafazamen and mamazawumeni. Natumai mpo salama na ni wa zima wa afya plus mahangaiko ya hapa na pale Sasa wakuu wangu mimi ni kijana ambaye bado...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama uko mwenyewe mwenyewe hilo ni tatizo, au mwenzako yuko mbali na wewe, hilo nalo ni tatizo pia; kwa kifupi hayo sio maisha. Adam alipokuwa pekee yake, alitafutiwa msaidizi ili wakae pamoja...
8 Reactions
114 Replies
3K Views
Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani...
2 Reactions
16 Replies
583 Views
Kwa lugha ya malkia mnaita 'swaying'. Ni moja ya sanaa za kale iliyorithishwa kupitia mafunzo ya jando na unyago na mafunzo mengine yasiyo rasmi ndani ya makundi rika. Inahusu wandani wawili...
4 Reactions
7 Replies
452 Views
Naomba kujua wajuzi.
1 Reactions
12 Replies
701 Views
Habari wakuu.... Huyu dada amekuwa rafiki yangu kwa kipindi cha muda mrefu huku tukijaribu kusaidiana kwa vitu vingi na urafiki wetu ulikuwa kama Tupo kwa mahusiano jambo la kunishangaza muda si...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Wakuu, Mwezi uliopita tulikuwa na ugomvi mkubwa sana nikadhamiria kabisa kuachana naye moja kwa moja. Baada ya kuomba msamaha sana, turudiane ikashindikana. Akameza vidonge lengo kujiua...
53 Reactions
275 Replies
12K Views
Back
Top Bottom