Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Yani Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo.
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama penzi lako wewe na huyo hacienda mpaka wewe ndio unaze kutuma sms au kupiga wewe haupo kwenye mahusiano bali unafosi. Kama mpenzi wako ukiwa munachati inakuwa kama unamfanyia interview ya...
16 Reactions
39 Replies
2K Views
Hello JF Family.. Need a HELP I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri (I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years...
12 Reactions
163 Replies
5K Views
Wakuu salaam kwenu, Nipo nawaza na kuwazua juu ya huyu mke wangu. Miezi michache nyuma tulipishana kidogo, sasa tangu wakati huo hadi sasa kila akija hapa home hataki kulala na mimi chumba...
8 Reactions
161 Replies
9K Views
Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili...
23 Reactions
58 Replies
2K Views
Chakula ni sehemu muhimu sana maishani...kwanza tunakula ili kushiba baadhi hawajali mapishi ilimradi tumbo lijae na wengine kila siku wanaongeza ubunifu kunogesha vyakula vyao mpaka wote...
16 Reactions
221 Replies
27K Views
Huyu mdada ana miaka 25 nmejuana nae mwaka 2020 benki flan akiwa kama afisa mikopo wa benki husika Siku ya kwanza namuona ilkua Ni siku ya business club tulipoalikwa wateja wa benki ile kwa ajili...
6 Reactions
160 Replies
12K Views
Mwaka 2008 nilikutana na Binti nikawa nampatia lift kuelekea Posta tukaingia kwenye mahusiano, nilimuuliza Kama ameolewa akasema hapana anaishi na wazazi wake. Mimi nilimwambia kuwa Nina mke na...
40 Reactions
106 Replies
8K Views
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke...
69 Reactions
160 Replies
11K Views
Salute.... Mwaka huu nimeamua kutumia platform hii kuongea na vijana wenzangu hasa waliozaliwa 90s. Mada zangu zote kwa mwaka huu 90% zitakua zinahusu miongozo na ushauri nasihi wa masuala ya ndoa...
36 Reactions
403 Replies
11K Views
Wakuu nimeona nilete hii case Kwenu wana jf ili muweze kunishauri nini cha kufanya. Ipo hivi; Kipindi namaliza chuo miaka takribani 6 iliyopita huko kanda ya ziwa nilikutana na msichana...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
habari za jioni ndugu zangu, Katika hekaheka zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejikuta nimeangukia kwa mtoto wa kimanyema. sasa nina hitaji kujua utaratibu kuhusu kishika uchumba na mahali najua...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu. Atakutafutia sababu tu akupate. Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi? Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila...
23 Reactions
163 Replies
5K Views
Miaka ya zamani watu waliokuwa wakiamini mambo ya shirki na ulozi walikuwa ni watu wazima haswa, hawa ndiyo walikuwa wateja wakubwa kwenye vilinge vya waganga. Kiukweli mambo yamebadilika sana...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
12 Reactions
98 Replies
5K Views
Watu usema kujiamini ndo siri ya mafanikio ukijiamini unaweza kupata kile ambacho hukutarajia kukipata kwasababu ya ujasiri wako. Mwenzenu mimi sio tajiri sio maarufu wala sina chochote kile cha...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Haya wakataa ndoa mmefikiwa🤡 Kumbe kampeni yenu ni kubwa ina watu wazito duniani. 1. Vladimir Putin Huyu bwana nafikiri watu wengi wanamfahamu hapa duniani. Kwa wasio mfahamu huyu ni Rais wa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa. Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom