Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
2 Reactions
4 Replies
258 Views
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa...
36 Reactions
103 Replies
5K Views
Tendo la ndoa ni kiunganishi cha kimwili,fikra(hisia), na hata nguvu za kiasili baina ya mwanamke na mwanaume. Kuna sababu kuu ya uwepo wa tendo hili ni kuzaliana kama ambavyo ipo hivyo kwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani. Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi. Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu. Why mpo hivi?
15 Reactions
98 Replies
3K Views
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo? Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata...
12 Reactions
143 Replies
5K Views
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Shalom, Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma. Huyu...
2 Reactions
3 Replies
672 Views
1. Ikiwa unapitia changamoto yeyote, usije ukaomba ushauri kwa Ex kwasababu huyu atakushauri kwa kusukumwa na wivu ama hisia. 2. Jitahidi kuto mshirikisha rafiki wako wa karibu changamoto za...
20 Reactions
36 Replies
1K Views
Vipi je priority yako Ilikua ni elimu, matako makubwa, uzuri wa sura, financial status, mweusi, mnene mrefu? au ulijishtukia tu umeoa? Nimepata mchumba, Bado nafiikiria kama nitamuoa, japo...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Wadau wenzangu usiku wajana nusu nikimbie hotel .kisa chenyewe kilianza hivi,baada ya siku nyingi kukaa baharini jana meli yetu ikafanikiwa kutia nanga kwenye bandari ya Dar,kama kawaida mimi na...
1 Reactions
19 Replies
11K Views
Mwanaume akichepuka ni sawa na mtu kunawa mikono kwenye mabakuli tofauti tofauti. Mwanamkenakichepuka ni sawa na watu kunawa mikono kwenye bakuli moja. Umeiona tofauti hapo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna aina kuu tano za ukahaba zinazofanywa na madada zetu. Kuna wengine wanajua wanafanya biashara ya kujiuza na kuna wengine hawajui kama wako sokoni. Direct prostitution: Hawa ni wale...
18 Reactions
133 Replies
27K Views
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe...
1 Reactions
10 Replies
663 Views
Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Daaah! Wazee kuna baadhi ya wanawake sehemu zao za siri zinatoa harufu. Najiuliza wakati nakutana naye alifichaje ile harufu bado sipati majibu Mazee. Wanajamvi nikiri nilikutana na demu...
21 Reactions
107 Replies
5K Views
Hope mko poa kabisa wakubwa. Nina kisa changu kinachohusu mapenzi, na kuyasotea. Kati ya waliowahi kusotea pis basi namm nipo,, ila nilitoka kapa tena kapa ya gamba. Kipindi tupo sec kuna demu...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Ndugu zangu. Mtakuja kusema tusipangiane na wengine mtapita kimnya kimnya ila ukweli ndiyo huu la zima usemwe maana wanaume tumepungua sana Haijalishi mabinti wanazingua sana ila kijana huwezi...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Relationships are one thing that can mess up your life. Be careful. Pray and be sensible when falling in love. Love can turn a bright future into a miserable life. It's painful to know that the...
7 Reactions
17 Replies
732 Views
Back
Top Bottom