Ndugu zangu
Hivi viumbe tunu ya mioyo yetu sijui akili zao zipo wapi. Japokuwa mimi ni muhanga wa kataa ndoa ila sikatai kuishi na mwanamke, nitaishi na mwanamke uchumba sugu hakika.
Hivi...
Kuna wakati tunakuwa na hisia usiku wa manane au tukiwa tumepumzika mchana na wenzetu wako kwenye usingizi mzito na hatutaki kuwaamsha.
DADA ANGU FANYA HILI
Ukiwa kwenye hisia kali basi wakati...
Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume...
Hii Game hua niliipenda Sanaa, sio unakua na kajitu kanyonge, masaa hayapiti kanalia.
Mda mwingine inabidi uwe na mtu anayekutingisha kidogo, hata thamani yake utaiona.
Mimi nilikuaga na Mchezo...
Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa.
"Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe".
NB...
Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga...
Wanaume bwana,siku ya kwanza kudangaywa,
Nilikutana na mwanaume supermarket moja akanitongoza
Nilipomuuliza unajishughulisha na nini? Alinijibu anafanya kazi Shirika la Reli (TRL)
Tukaendelea...
Habari za Leo wakuu.
Kuna ujinga fulani ulisha waingia wanaume, wakifanikiwa tu huwa hawakumbuki watu waliowasomesha au kuwapa mitaji.
Wengine walisomeshwa ili wazikomboe familia zao lakini...
Yani najiuliza hivi kweli kitu gundu kipo au ni nadharia tu.
Kuna ile mtu anaambiwa we una gundu yani mambo yake hayatoenda na hatokaa afanikiwe katika jambo lolote abadani,kama ni mafanikio...
Kwa jinsi miaka inavyozidi kwenda rate ya wasichana wenye zaidi ya miaka 30 hawajaolewa na inazidi kukua kwa kasi, hasa ukiangalia kwa jamii kubwa ya kitanzania mwanamke anapofikisha miaka 33 kama...
Ndugu zangu,
Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika...
"Mwanamke akikupa pesa yake wivu wake unaongezeka maradufu, na anataka uwe wake peke yake, yaani ni kusema achilia mbali kutaka kumiliki moyo wako lakini pia anataka na roho yako.
"Pesa ya...
1. Kevi (sio jina halisi) alijichanganya kunioa. Me nilijua tuu tangu ananioa kuwa amejichanganya. Kudumu na mimi kwenye ndoa inabidi awe na moyo mgumu. Sababu naweza tembea na ukoo mzima. Ndugu...
Hapa na umiza kichwa sana, ni kwanini wanawake wanatuomba hela sipati majibu kabisa
Awe sio mkeo anaomba hela
Awe ni mkeo anataka hela
Awe ni rafiki wa kike anaomba hela
Awe ni mpenzi au...
Mahusiano yanatakiwa yawe daraja la maisha yako wala si ukuta wa kufupisha au kuharibu maisha yako. Ukiona mahusiano uliyonayo hayawi daraja la ukuaji wako wa kiroho, kiakili na kiafya basi si...
Kuna mwamba mmoja yeye kila mkewe akijifungua anachukua vioo viwili, kisha anajitazama yeye na mtoto, ataangalia chogo chake na cha mtoto, akiona kasoro ataanza, mke wangu huyu sio wangu na mambo...
Habari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu...
Kwa kweli hakuna kazi ngumu kama kudate na mwanamke wa Arusha, yaani hawajui kuwa romantic wala nini.
Wapo kiselasela tu. Kama wewe mwanaume upo smart unaweza ukazani unadate na muhuni au malaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.