Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae...
Mpendwa mzazi, ili uweze kuwalea watoto wako vizuri, inakubidi pia ujitunze wewe mwenyewe kwa kuilinda afya yako, ya mwili na ile ya akili. Leo tutaongelea zaidi namna gani unaweza kuilinda afya...
Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu.
Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la...
Haya ni baadhi tu ya majukumu ya Mume kwa mke, majukumu hayo yanatambuliwa kabisa na Biblia hivyo si vyema kupingana na maandiko...
1. Kumpenda kwa dhati mkewe
Mungu anaamuru kila mwanamume...
Ukitaka salam nenda Baraza la kata kalalamike waje wanikamate.
Kuhusu muandiko m sio mwalimu bhana.
Huu uzi ni kwaajili ya kuelezana uongo ulioutumia kumpata demu.
Mi naanza nilimdanganya kua...
Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani,
Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au...
Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee
Wakati namuoa tulikubaliana...
Wakuu nimempakia abiria wangu mzungu kutoka wavuvi Hadi mikocheni kwa warioba akanipa hii akaniambia nimrudishie 5000..Sasa hi itakuwa Bei gani je kanipiga?
WANTA
My name is Wanta,The big girl herself, the strongest one among our group of four matured ladies. Yaan strongs ile Ngangarii, u know what I mean ndugu msomi.
Sio kwamba niko Strong sababu...
Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye...
Wanawake Walioolewa...✍🏾
1). Kamwe usimkalipie kwa sababu yoyote mumeo. Ni ishara ya kutokuwa na heshima.
2). Usielezee udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki. Matokeo yake yatakurudia wewe...
Hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana.
Kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti.
Mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za...
Kuna kundi la wanawake wanasema hakuna ulazima wa mwanamke kuolewa au kuishi na mwanamume maana saivi kila mtu anajiweza bila kujali ni wa jinsia gani na hata kama mwanamke ataolewa basi hakuna...
Katika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na...
Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure).
Hata baada...
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu...
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua...
Kipindi nipo hapo dar es salaam katika harakati za utafutaji, nilikuwa ni kijana mpenda starehe sana ukisikia bata boy basi ndo mimi.
Weekend moja nimetoka na mwanangu mmoja bangi sana, tukaenda...
Naomba mnisaidie katika hili.
Miaka 4 nyuma nilichaguliwa kujiunga na mafunzo fulani, moja ya masharti hayo yalikuwa kupima kundi la damu na magonjwa mengine.
Basi nikaamua kukamilisha mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.