Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu.
Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe...
Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi.
Uzinzi ukikomaa...
Ndugu zangu nawasalimu sana .
Katika maisha ya kawaida ya binadamu , tunajua fika kabisa tunategemeana kutokana na ugumu wa maisha uliopo , hivyo hivyo na ndipo lilipo chimbuko la mahusiano mengi...
Hili swala limekaaje maana asilimia kubwa Kwa uchunguzi nilioufanya Kwa hawa Dada zetu ni ngumu sana kukubali aolewe na mwalimu ndomana walimu wanaishia kuowana walimu Kwa walimu.
MIMI nadhani...
Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.
Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake...
Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi
Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda...
Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani?
Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa, lakini hawajui majukumu ya wake zao.
Wengine wanaishia...
Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha...
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.
Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000...
Hiz ni code zitazokufanya usifeli popote
1. Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli
Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid. Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi...
Miaka ya nyuma wakati wa likizo ya kidato cha tano kuelekea cha sita niliwahi kutana na binti mrembo tu. Nikamsalimu "mambo", aliishia kunisonya! Ndipo nilipomsogelea karibu na kumuuliza sababu ya...
Nmesikitika sana baada ya kukaa na kuangalia vijana wa sasa jinsi walivyo na mambo haya hivi kweli,
Nimeangalia hii video sijaelewa lengo zima la hawa wanaume lilikuwa ni nini?
Yaani mnataka...
From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men.
Kijana msomi...
Habari za jioni ndugu waumini wa kataa ndoa
Leo naleta kisa changu
Nivumiliwe ishu ya uandishi
Mimi ni kijana umri 34 nilibahatika kupata mwenzangu ambaye pia alikuwa mwajiliwa mimi nikiwa...
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.