Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni natumai wanajukwaa mko wazima kabisa ninakipengele hapa ninahitaji mawazo yenu nipone mwenzenu .Nimebahatika kuwa na mahusiano na mabint watatu kihistoria wakwanza niliachan nae alinisaliti...
4 Reactions
11 Replies
394 Views
Shalom, Ifahamike ya kwamba ukweli ni tunu na kusema ukweli ni ibada kamilifu. Naomba jamii itambue kuwa umbile la uke wa mwanamke lilivyo halina Cha umri wala nini ili mradi amevuka miaka 19...
13 Reactions
114 Replies
6K Views
Herini ya easter ASANTENI
15 Reactions
43 Replies
1K Views
Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
1. Mimi miaka kadhaa nyuma kuna dem nilimuahidi akija geto nitampa 20k, si akajichanganya akaja geto nikala mzigo fresh baade kataka ile hela nikamwambia sina nitakupa siku nyingine. Basi...
33 Reactions
192 Replies
28K Views
Alright okay ni wako selemani sele hilo nalo ni lile somo la kuogopa wanawake kama ukoma twende na mistari. Nilikuwa na Manzi yangu niko nae miaka 8 sasa ni dem ambae yuko tough Sana kwangu...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Shalom, Hii kauli imenicost sana kwa baadhi ya mademu. Kuna ile hali unabembeleza demu aje ghetto kisha baada ya Msoto wa kubembeleza demu anakuja. Kimbembe ni pale amekupa round Moja ya fasta...
3 Reactions
2 Replies
455 Views
Nilijiwekea msimamo wa kuoa mwanamke mwenye bikra, ila nikajikuta nakuwa mfuska wa kubadili wanawake kwa kutafuta kitu ambacho kiuhalisia kwa Tanzania Sasa hivi ni nadra. Wanaume wenzangu tambueni...
8 Reactions
143 Replies
15K Views
kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana. na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba. kuiba mke au...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
SHAIRI..UKITHAMINI UREMBO MAMBO YATAKWENDA KOMBO 1.Maisha yetu ni fumbo jaribu kufanya jambo. Unapozeeka umbo, kumbuka kuacha nembo Dunia hii ulimbo, usije kufanywa chambo. Ukithamini...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Wakuu kuna binti nimekua nae kwenye mahusiano almost miaka mitano. Tumepitia changamoto nyingi kwenye maisha lakini still tuko pamoja. Sababu kubwa iliyonileta hapa ni kuomba ushauri wenu ndugu...
13 Reactions
256 Replies
6K Views
Hivi ikitokea mchumba/mke amekusaliti na ukaamua kumsamehe, unawezaje kurudisha uaminifu na maisha yakaendelea? Kwa wale mliopona na kuamua kusamehe na kuendelea na maisha tupeni uzoefu wenu...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa. Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Jamaa mmoja anaejulikana Kwa jina la David (27) mkazi wa Madibira ,mbarali mkoani mbeya ameoa mke wa mgoni wake. Bwana David alimuoa Maria (23) mwaka 2019 nabkibahatika kupata mtoto mmoja...
2 Reactions
5 Replies
666 Views
Anti: unajua money penny, nimwambie kitu? Money penny: ndio Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui...
10 Reactions
838 Replies
31K Views
Habari wakuu.. Kabla sijajichanganya mwanaume mwenzenu naombeni msaada wa haraka kutoka kwa hawa mabinti wa kiarabu waliochora tatoo za manyota nyota au maua katika sehemu zisizo onekana akiwa na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna mke wa mtu nilimpa lift mwaka jana mwezi wa saba. Takribani mwaka sasa, tukaachiana mawasiliano na badae kujikuta kuwa wenzi. Kila nikipanga naye kukutana ili nimle Kwanza moyo unakuwa...
4 Reactions
86 Replies
17K Views
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hivi na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na ex wake na mwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizuri zaidi...
36 Reactions
580 Replies
21K Views
Kuna uzi unasema kuwa Baba wa kambo kalea binti mpaka kawa mtu mzima lakini Binti alipotaka kuolewa mahari akasema apewe Baba yake mzazi na sio wa kufikia. Uzi wenyewe huu hapa Tumsaidie huyu...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi. Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa...
39 Reactions
90 Replies
5K Views
Back
Top Bottom