Habari wana JF.
Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE.
Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini...
Wasaalam sana ndugu zangu
Wakubwa ni nani aliyetuloga , ni nani aliyetufanya kukosa akili na kutambua jambo hili baya tulilolifanya ndiyo utaratibu wa kuwa send off na kuwasindikiza kwenye ndoa...
Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno.
Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama...
Kwenye harakati zako za kufukuzia mrembo, ulitumia muda gani mrefu kumpata Demu?
Mm binafsi nilimfukuzia Demu kwa kipindi cha miezi 4, tena alikuwa ananionesha dalili za kunikubalia.
Yani ile...
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wanawaza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
Moja ya harusi bora kabisa hii
Watu wa hivi huwa hawataki mambo mengi kabisa, mara nyingi huwa sisi wanaume ndio tuna aamua iwe hivi.
Nyingine ile mkimaliza kufunga ndoa shughuli zina endelea...
1. He's 68 years old.
2. Retired from active service.
3. Worked all his life to raise his kids.
4. Deprived himself of life's pleasures to pay expensive school fees and living expenses for his...
Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:-
1.Siwezi...
Habari zenu Wakuu,
Kama utataka kuoa/kuolewa nakushauri usikubali kufunga ndoa na mtu anaenyonya sehemu za siri.
Nitakupa sababu za kwanini usifanye hivyo, sababu zenyewe ni kama ifuatavyo,
1)...
Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje?
umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na...
Usihamaki. Huu ndiyo ukweli.
Kwani uhai unaanzia ngazi gani ya kibayolojia? Mayai ya mwanamke siyo kitu hai? Kama ni kitu hai kilichosanifiwa na mwenyezi Mungu wewe una mamlaka ya kukiua? Bila...
Habari wakuu,
Ni ukweli pasipo na hata punje ya shaka kwamba wanaume wengi wanaongalia picha za ngono hujichua (masturbation)jambo hili lina madhara makubwa hasa ya Kisaikolojia.
Watu walio...
Habari waungwana,
Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.
Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana...
Ndugu zangu
Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu
Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na...
Jambo?
Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother.
Lahaullah ile kuangalia...
Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3.
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu.
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake...
Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo...
Wakuu mpaka muda naandika thread hii nimejikuta najiuliza kinachonisibu kwa sasa.
Kwanza kabisa neno Ghosting :Ni ile hali ya kukatiza ghafla mawasiliano na mtu bila taarifa wala kumuandaa huyo...
Ni vijana ndugu zangu wameingia kwenye ndoa mwaka jana ila hawakupima afya.
Sasa mke amepata ujauzito na walipokwenda kupima kama inavyotakiwa clinic mke ameonekana ana maambukizi ya vvu. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.