Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Malalamiko yalikuwa mengi kuwa mnanyanyaswa na wake zenu, mmepata nguvu sasa ya kutetewa na Rais wenu kashapatikana. Huyu wa kustaafu ameniuma sana.
18 Reactions
333 Replies
8K Views
Nina rafiki yangu ana rafiki yake ambaye sipo nae karibu sana. Tulikuwa tunaongea juzi tukiwa tumekunywa wine kidogo. Katika story akaleta confession baada ya kunambia kisa cha rafiki yake...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
PASAKA NJEMA TO ALL JF MEMBERS Mie naenda KFC kushangaa watu na hela zao .
3 Reactions
2 Replies
335 Views
Nimrejeshee nini mamsapu! Wakati ule tulipoanza mahusiano, yeye aliniambia amewahi kuwa na mahusiano na mtu mmoja tu ambae hata hivyo hakudumu nae muda mrefu. Nilipomtizama usoni, alionyesha wazi...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya. Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Hello, Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani. Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Tarehe kama ya leo February 7 mwaka 1990 wakati mwanafunzi wa kike wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipojiua, watu wengi walifikiri kuwa alifanya hivyo kwa sababu alikuwa na...
96 Reactions
495 Replies
125K Views
Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
186 Reactions
1K Replies
70K Views
Ndugu zangu na mwenye ufahamu na asikie neno hili. Siyo kwamba tunawachukia wanawake, tunawapenda ila nyie wenyewe ndiyo waharibifu wakubwa, bado mnadanganywa na wanawake wenzenu mafeminist...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa...
24 Reactions
194 Replies
12K Views
Kama mada inavosomeka hapo juu jamaa angu ana mtu wake kwenye mahusiano huyo binti alimuamisha jamaa kwamba ni Bikira Kwa 100%, lakini alichokuja kugundua Jana baada ya Sex Hakukuta kitu(hamna...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
31 Reactions
816 Replies
40K Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
28 Reactions
155 Replies
6K Views
Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k...
17 Reactions
64 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa...
9 Reactions
75 Replies
3K Views
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua...
17 Reactions
261 Replies
9K Views
Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani. Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi...
18 Reactions
176 Replies
7K Views
Unakuta unatembea na mke wa mtu mwisho kaja kaachika anakuja kwako umuoe wewe unaleta sababu ( hapo hapo uko sngle hujaoa) unalala mbele. Dada wa watu anabaki analia lia. Mume kamuacha na wewe...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Naomba niende kwenye mada, mimi na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wa pili mwaka 2018. Nilihamishwa kikazi...
154 Reactions
1K Replies
72K Views
Back
Top Bottom