Wengine wana changamoto zao ambazo hawawezi kukushirikisha mojakwamoja na hawapendi wakusababishie
Sasa wewe endelea kufosi
Habari ndoiyo
Usiseme haukuambiwa
Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza...
Onyo: Ndugu zangu huu uzi ni wa majonzi makuu.
Wale mliopoteza wapenzi wenu katika maisha haya ya dunia ilikujekuaje na mlifanyaje kuwasahau na kuendelea na maisha mengine
Kwangu ilikua hivi...
Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
Wanawake tupinge na kukataa mateso ya ngono toka Kwa wanaume. Kifo cha Mende kinatosha kabisa. Mambo ya kuikalia sijui na kuturusharusha vichura hatutaki. Kutubenua na kuchungulia matundu yote...
Habari Wakuu!
Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti.
Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye...
Hellow JF Members,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba maoni ya wadau. Unakuta mwenza ni mgumu sanaa kupokea ushauri hata wa kawaida tu na pale mambo yanapomuendea kombo juu ya jambo...
Habarini wana jamvi
Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan
Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv
Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia...
Heshima kama zote kwenu wana JF.
Umri wangu sio mkubwa sana ila ngazi ya tatu naanza kuipanda soon.
Kwenye miaka yangu ya 20s nimekuwa mtu wa kubadilisha wadada sijawahi kuwa na mahusiano...
Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro.
kuchapiwa kwa sisi wanaume...
Bestfriend wa my Papa Bear anani approach , what should i do guys ?
Nimwambie Papa Bear wangu or nisimwambie?
Nimemkataa lakini hataki kukubali ananiambia am just wasting my time kwa Papa Bear...
Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta.
Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k
Kwa wale...
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo'...
Ukweli wa mambo hasa kwa wale jamaa au wapenzi wa kutumia doggy aka style. Style hii ndo imekua chachu kubwa sana kwa vijana wengi kuamia 0713...
Ushauri vijana tutafute style zingine matatizo...
USIMUACHIE MKEO AMLEE MTOTO WA KIUME;
~Jukumu ni lako kumfanya awe ngangari
[emoji3468] 25 mfundishe mwanao.
1. Mwambie marufuku kutoa machozi ukianguka na kuumia
2. Mwambie wanaume tunaoga...
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting...
For this matter, this language is appropriate. This confession comes from someone, somewhere. It's about a side mama (not a chick). As a married man, sometimes the urge to give up the addiction...
Kwema Wakuu!
Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa".
Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo...
Humu nimesoma post nyingi za wanaume wanatafuta wanawake wakuishi nao sasa vigezo vinafurahisha.
1. Eti awe na chuchu zimesimama . Sasa mnawazalisha watoto wadogo hadi tigo mnawaomba sasa...
Kumekuwa na maelezo mengi kutoka kwa wanawake kuhusu kutolewa bikra zao. Wengne husema bikra zao hutolewa kwa kuendesha baiskeli, wengne kwa kufanya kazi ngumu.
Siku moja nikakutana na kidemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.