Ndugu zangu
Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa...
Usiombe udukue simu ya mwenza wako, unawez ukajitaguliza ahera kwa utakayokutana nayo ukajuta kama wewe ndio wale wanaojifanya mahaba kama yote!
Mimi ukinipa simu yako nikiamua dakika Tano...
Msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo sana,pia msiogope changamoto za maisha ya ndoa,hizo zipo tu.
Kwenu ambao hamjaoa au kuolewa, fanyeni juhudi muoane na mimi nipo kuwasaidia...
Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea...
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi
nilivo karibu nae, hivyo mm...
WAtu wengi wanajua waganga wanasaidia .
Ila waganga hawasaidii waganga wanachukua mazuri yako anampa mteja wake mwaminifu halafu wewe anakusaidia some how unaona afadhali ila ukija jua kachukua...
Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha...
NI mamb gani upelkea mtamfluko wa MAPENZ kuvnjika kbisa kuto elewan pia kuon wabaya zaid kujsemea “Nmefnya makosa kuwa na wew
Kwa mim yot y yote naamin percntge nyng wanachkua WASCHNA kualbu...
Katika umri mdogo kijana anamtamkia binti maneno anayoumba kutoka katika akili yake na majibu ya binti yatashtua mapigo ya moyo ya kijana aidha kwa wasi wasi au mahaba.
Wakati wa umri mdogo...
Tujuzane..
Isijekua tunamiss mambo matamu..
Nasikia kuna kondomu ambazo ukitumia ni sawa na unapiga kavu yaani zinakupa utamu ule ule sawa na unaoupata ukipiga kavu.
Tujuzane kwa wale expert...
Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu.
Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye...
Aisee muda unakwenda kwa kasi ila mambo au maisha yanakwenda taratibu nadhani sijui kwa wengine. Imagine madogo waliozaliwa mwaka 2000 huu mwaka watasheherekea birthday ya kutimiza miaka 24.
Huu...
Hivi unaweza kweli kumuumiza mtu mpendae kwel. Yaani kumfnyia vtendo ambavyo havistahili kufnyiwa, km MPIGA BILA KOSA or kuuingza mwanmke mwengine akat yeye yupo?
PIA kutokujal hisia zake juuu...
Habarini wanajamvi #JF
1.Utangulizi
Hii ni true life story ya maisha yangu, nikilenga kutoa ushuhuda wa mambo kadhaa niliyoyafanya katika harakati za kuchakata mbususu. Mimi sio msimuliaji mzuri...
Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi?
Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu...
Wakuu,
Mimi Ni baba wa watoto 5 na mtoto wangu wa mwisho wa miaka 2 kasoro anaumwa na Yuko Kwny dozi ya sindano, anatakiwa kupelekwa dispensary kuchomwa kila saa 12 jioni.
Sasa Leo nilishinda...
Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi...
Jambo Sana!
Wakati wengine wakibadilisha Maisha Yao Kwa dakika tano Kwa kubet, Mimi nilikuwa napiga doria katika account za mitandao ya kijamii huko Pm na inbobo nikivizia mawindo. Wengine wengi...
Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'.
Baada ya kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.