Covert Incest au Emotional incest ni aina ya unyanyasaji ambao unahusisha mzazi/mlezi kutegemea msaada wa kisaikolojia au ushauri wa kisia kutoka kwa mtoto wake ambao alitakiwa kuupata msaada huo...
Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona...
Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na...
Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo.
na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru...
Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman
Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali
Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka...
Hope mko poa wadau.
1 Kati ya kazi ngumu na mnyororo safi kabisa wa umaskini ni pamoja na kuwapaka rangi za kucha+kusuka wadada.
Hasahasa ikifanywa na mwanaume.
Hua nawaangaliaga nikipita...
Habari.
Najua wengi mtakuwa familiar na hili neno kumove on sababu hutumika kumaanisha maisha baada ya kuvunjika mahusiano ya kimapenzi.
Matumizi ya hili neno huwa hayafanani kimantiki au...
Lakini pia ulitumia mbinu gani na zilizokufanikisha kuacha umalaya, usagaji, nyeto, uasherati na udangaji, hadi sasaivi unaonekana umetakata, una afya njema, unavutia, nadhifu, unaaminika na...
Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano...
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti...
Kijana mmoja huko buza kwa mpalange amejikuta akitunukiwa tunda kimasihara bila kutoa hata senti tano.
Dah,, ila hizi bahati mbona hazijawahi kunikuta ona sasa mpaka nimesha owa.,😋😋😋
upepo wangu wakupuliza wewe, mwenye joto kali.
usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukaali.
ninachotaka mi ni kuwa na, wewe naomba unielewee
uuuhhh beibiiiii. *2
moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka...
Kwa Utafiti usio rasmi wanaume wengi kwenye jamii ambao waliwatelekeza watoto wao bila kuwatumia chochote wala kuwatembelea watoto hao kwa sababu ya migogoro na wanawake waliozaa nao
Hawana...
Usaliti ni hali na kukosa uaminifu baina ya watu wawili au zaidi, usaliti ninaotaka kuzungumzia apa ni usaliti haswa wa mahusiano ya kimapenzi.
Jamii yetu ya saivi haswa kwa vijana wanapitia...
Shalom,
Siku hizi wanawake nao hawatunzi hisia za minyanduano. usipomcheki hakutafuti.
Huwa najiulizaga sana sipati majibu, shida ni mimi nina shoo mbovu kwa mademu zangu , ni mizimu haitaki au...
Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure.
Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani...
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.
Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.