Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tumekuwa tukiwafundisha kila siku, japo mmekuwa wagumu kuelewa lakini hatutachoka kuwaelimisha. Tunaamini mtaelewa kidogo kidogo. kama wewe umeo na una mke let say ana kazi au biashara au...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu. ni kweli kuoa na kua na mke wakati mwingine ni jambo la heri na baraka ila kwa upande mwingine linaweza likawa ni jambo hatari, la maangamizo na la kujutia sana siku...
3 Reactions
10 Replies
828 Views
Habari wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye maada bila kupoteza muda. 1.Huyu ni mwanaume anayeweza mdudu tendo la ndoa Ata kwa zaidi ya dakika 30 na humrisha mwanamke ila tatizo lake mbegu...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu!! Tuanzie hapa!! Unajimu ama Astrolojia ni elimu juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha ya binadamu duniani. Wanazuoni wa unajimu wanaeleza ya kwamba nyota zinaathiri maisha...
3 Reactions
41 Replies
60K Views
Hallo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto? Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye...
7 Reactions
145 Replies
27K Views
Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo. Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Good morning! Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mapenzi tumeyakuta, lakini ubaya ni kuwa hakuna mtu aliye wahi kufundishwa somo la mapenzi wengi watakubaliana nalo hilo kuwa hakuna somo la mapenzi, lakini hali ni tofauti somo la mapenzi lipo...
7 Reactions
234 Replies
37K Views
Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo...
3 Reactions
8 Replies
545 Views
Baada ya kuandika uzi nikiiomba serikali yetu itunge sheria kali kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k. Nimeona sio vibaya tukalijumuisha hili suala kwenye uwanja wa mapenzi/Mahusiano...
0 Reactions
5 Replies
395 Views
Italian Relationship: 1st day= Sex 2nd day= Sex again. French Relationship: 1st day = movies & kiss 2nd day = Sex 3rd day = Sex again British Relationship: 1 day= hangout & kiss 2nd...
6 Reactions
8 Replies
557 Views
Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kawaida yao wakitolewa out huwa ni kuagiza diko la bei mbaya kwenye kitabu cha menu kama vile hatakula tena maishani ila kumbe hali inakuwaga hivi endapo watatumia hela zao binafsi. Ma slay...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni...
1 Reactions
1 Replies
288 Views
Huu ni utafiti mdogo wanawake wembamba wanapenda sana na hawachoki kuliko wanene. Na wengi wao ndio wanaongoza kwa uhuni au kutoka nje ya ndoa sababu hawaridhiki. Nadhani ndio maana hata miili...
8 Reactions
84 Replies
8K Views
Kuna wanaodai eti kabila fulani ndo wanapenda sana ngono. Utaskia sijui wapare ni viwembe au sijui wanyiramba sijui wambulu au wahaya ni balaa kwa ngono. Mimi Braza Kede kwa akili yangu timamu...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO WAKOMAVU TUKO HIVI 😊 1.Ukishindwa kutupenda tulivyo usidhani tutakubali kuishi kama utakavyo ili ndio utupende 2.Tuna muda na anayetupenda ila hatuna muda wa...
9 Reactions
8 Replies
691 Views
Moja kwa moja kwenye mada Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama. Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu...
15 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom