Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu.
Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana...
Usi force kutafuta mpenzi kwaajili ya kumkomoa X , humkomoi unajikomoa mwenyewe unaweza ukajikuta unaruka mkojo halafu unakanyaga kinye* muda mwengine tuliza akili kwanza ujifunze wapi...
Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na...
Habari zenu ndugu zangu
Katika hali isiyo ya kawaida kama kweli kusema uongo ni dhambi basi wazazi wetu wanapaswa kuanza kuchomwa moto na siyo vinginevyo.
Ndugu zangu , wazazi wetu...
Kumekuwa na Trend kubwa ya Wadada/ Michepuko kuvujisha Picha za Faragha wanapokuwa na wapenzi au watu wao.
Mfano MCpilipili, Nyalandu, na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM.
Hii imekuwa kama tabia...
Wakuu poleni na mishe za hapa na pale. Sio mwandishi mzuri sana. Nimeona leo nishee nanyi kisa cha kumalizia chumba kimoja kwenye mjengo wangu mpya kumkimbia huyu singo mama.
Mwaka jana mwezi wa...
Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka?
Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata...
Nimefanya utafiti wa muda mrefu mno lkn bado nimeambulia patupu,nahitaji mawazo yenu ikiwezekana ya Yakitaalam zaidi/Yakitafiti.
Eti ni kweli mwanamke akiolewa ili hali ametunza Usichana wake...
When it comes to love, everything else doesn’t matter. That’s why you can fall in love with a single mother. Since her good heart is everything you need, you don’t care even she already had...
Kama siku 5 zilizopita nilikuwa nachezwa na machale yaani jicho langu la kulia lilikuwa linanicheza kuashiria kwamba kuna balaa soon litanitokea!
Nikawa naomba mwenyezi Mungu aniepushe!
Juzi...
Habari ya jumapili.
Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda...
Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi.
Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache.
Ndugu zangu watano...
Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona...
Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili.
Nimerudi nyumbani nimekuta mke...
Kuna asilimia zaidi ya 90 kwamba mtoto wa kwanza sio wako. Sijui kama utanielewa lakini acha nikueleweshe..
Mwanamke anapofika miaka 25 kwenda juu huwa anatamani sana ndoa. Unaweza ukawa una date...
Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu
Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3
Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency
Mwingine...
Ndugu wana Jf.
Kwa kweli ukosefu wa nguvu za kiume unasababishwa na wanawake wenyewe , ndugu nayasema haya kwasababu mimi ni muhanga mkubwa wa tukio la kuambiwa sina nguvu na wanawake kadhaa ili...
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.
Wengi...
jitahidi sana kujizuia kumsomesha mchumba wako. Zingatia apo kwenye uchumba. Nachelea kusisitiza kukushauri kijana wa kike na wakiume, usithubutu kufanya hiyo kitu. Madhara yake ni mzigo mzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.