Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu
Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake.
Ooh my God why this happen to...
Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini.
Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi...
Jana tuliona tabia zinazomfanya asiwe na hisia nawe.
Leo tuangalie tabia zenye matokeo mazuri.
Ukifanya haya ni rahisi kudumisha upendo katika mahusiano.
Kuna maana nyingi za upendo kwenye...
Habari za wakati huu ndugu zangu...
Kiukweli sisi wanaume tunakutana na mambo ya ajabu sana kwa wanawake. Huyu mwanamke alinidanganya yeye ni bikra kabisa cha kushangaza alipo kuja geto siku moja...
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.
Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani...
Honestly mpaka sasa sijawahi kujua sababu hasa ya wao kunichukia. Siwezi sema walinikataa, bali walinichukuia.
Zilianza kama tetesi kutoka kwa beki tatu wenu aliponiambia kuwa kwenu huwa...
Unaambiwa tembea uone. Wanawake wa Kigoma ni wapambanaji kupita maelezo, hujishughulisha na biashara za hapa na pale ilimradi kupata ahueni ya maisha, ukitelekeza familia ya hata watoto kumi ambao...
Habari ndo hiyo!
Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo.
Je, wanawake hawajui maana ya...
Wana JF, Leo nachokileta mbele yenu kilianzia kwenye thread yangu iliyo pita baada ya jamaa mumoja kwa jina la hah kukoment Mambo ambayo ukitazama vizuri ni kuwa jamaa huyo anasapoti ushoga. Na...
Wana jamvi nina mke wangu ambaye ni HR katika kampuni fulani hapa Dar na mimi ni mfanyabiashara japo mambo yangu yameyumba sana kwa sasa hivyo wife ambaye ndio amepata ajira mwaka huu anaboost...
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba...
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.
Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye...
Nimekuwa na huyu binti kwenye mahusiano takribani miezi sita siku zote amejionyesha kwangu ni mtu makini anayeheshimu misingi ya dini yake
Mwezi mmoja nyuma nilitembelea maeneo anayoishi huyu...
Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana...
Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia.
Zipo sababu za wanawake...
Sitoi salamu, jambo hili nimekaa nalo kwa takribani siku 2.
Linahusu mke wangu kufosi nimwage shahawa zangu mdomoni mwake, katika kinywa anachoombea mola.
At that time nikamwagia na akameza, ila...
1. Kuwa mcheshi kwake.
2. Uwe mtu unayemjali sana, mchukulie kama dada yako.
3. Akigombezwa na Mama/Mkeo, kuwa wa kwanza kumtetea/kumfariji katika huzuni yake hiyo na pia wakemee wadogo...
Habari wana JF
Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka...
Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti.
Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia...
Baada ya kuumizwa na kuachwa kisa pesa Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa - JamiiForums
sasa nimepata mwanamke ambaye naona kwa kiasi kikubwa ananipenda ameniambia ananipenda mimi jinsi nilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.