Baby (Kasie) you know...
You are my lover baby...
... you know I love you so....
‘Cause am not gonna be for long....
You know I gat what you need.....’
Keep it tight for me Kasie.... 😉...
I know...
I know, but all these because of love...
Babe, I love you 😍.... so much....
Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee. Tahadhari tuweke...
Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo...
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if...
Mapambano ya kupinga ushoga yamekuwa yakielekezwa zaidi kwa jinsia ya kiume.
Lakini sasaivi kumekuwa na wimbi kubwa la mabinti kuingiliwa "kusikoruhusiwa" kwa kupenda wenyewe au kwa kulazimishwa...
Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na...
Nami wala nisiwe mnafki sitaki nijifiche kwamba ni mwema kwamba niwakemee wengine
Watu wengi tumepata bahati ya kuweza kuja hapa duniani tukiwa na bahati kubwa sana ya kupata malezi ya kulishwa...
Wakati mapenzi yalipokuwa moto moto, ilikuwa ni kutembea kama kumbi kumbi, mwanaume hapa mwanamke hapa.
Lakini sasa hivi, wengi tunapeana maelekezo; tangulia tutakutana kwa mangi n.k
Tatizo ni...
Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo.
Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na...
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6.
Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha...
Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani.
Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi...
Wakuu,
Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU
Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk.
Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/...
Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana...
Nimeona Niwape Mwendelezo Wa Kile kilichoendelea na maamuzi niliyofikia mpaka sasa Tangu last time nimepost kueleza kile kinachoendelea kwenye mahusiano yangu and so far na maamuzi niliyochukua...
Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata...
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA
Na, Robert Heriel
Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo...
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.