Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi. Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya...
20 Reactions
126 Replies
9K Views
Anaandika Kenge Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao...
9 Reactions
129 Replies
10K Views
Sote tunafahamu ukali wa maumivu ya moyo na mwili pale unapo mpenda na kumuamini mtu halafu analeta ufala na kuishia kukuumiza. Hii hali linapotokea huwa inakuacha na maumivu makali sana ambayo...
15 Reactions
196 Replies
10K Views
Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
11 Reactions
111 Replies
4K Views
Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara. Uchumi Mahusiano Basi tu
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Hatuna budi kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwatakia dua wazazi wetu vipenzi waliokwishatangulia.
1 Reactions
0 Replies
179 Views
Aisee ni vigumu kuona bikra dsm, inasikitisha Utafiti umefanya na (erm)huu umehusu wasichana wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa bikira, ( virginity percentage at 25 years old) Kati ya watu miamoja...
4 Reactions
201 Replies
27K Views
Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi...
43 Reactions
323 Replies
15K Views
Kusema kweli sikuwahi kuzungumzia maisha yangu humu JF hususani mambo ya ndoa ila naomba nishare nanyi hili jambo. Niliwahi kuwa na ndoa ya kwanza lakini mke wangu wa kwanza alikuwa pasua kichwa...
40 Reactions
89 Replies
9K Views
Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi. Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee. Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako...
28 Reactions
134 Replies
4K Views
Sina maelekezo mengi karibuni wakuu
3 Reactions
6 Replies
423 Views
Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu...
25 Reactions
112 Replies
8K Views
Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Idumu JF, Namuuliza yule mwanamke ambaye kakubali kuolewa lakini anafanya kazi na kipato anachopata kazini anasema chake si cha familia! Mume ni sawa anaitunza familia kwa huduma zote...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Mfano umemtongoza binti ukapeleka posa mkaishi mkazaa watoto ikapita miaka 10 hamjafunga ndoa vipi huyu mwanamke atakuwa na uhalali wowote kisheria za kimahakama ikiwa hamjafunga ndoa. Nikiwa...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Bila kupoteza muda wakuu wacha niende Moja kwa moja.. kama kichwa kinavyouliza. (nitaifupisha) Mimi ni Bwana mdogo tu kama vijana wengine lakinj si wa hovyo, ila story kwa namna ilivyo kuna...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba niwie radhi kama nitakuwa nakukosea kwenye, wala sitaki kuficha toka nimejiunga humu kuna member anaita To yeye nahisi ananigusa mno. Nahisi kupata hisia ima ninapoliana jina lake ama...
19 Reactions
126 Replies
3K Views
Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa...
11 Reactions
100 Replies
7K Views
Ikawa asubuhi ikawa jioni.... Habari za jioni Kasiende, nzuri. Waelekea wapi niunge tela...!! (Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu... Naenda kupata mlo wa jioni kisha...
20 Reactions
48 Replies
3K Views
Back
Top Bottom