HAKUNA ANAYEWEZA KUVUMILIA UMASKINI WAKO MAISHA YOTE NI VILE TU HANA PAKWENDA 😔
Achana na mifano ya kujifariji kuhusu wazee wetu walivyovumiliana kwenye umaskini maisha yote ni vile tu mmoja...
Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni...
Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k
Nini...
Habarini wakuu
Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi...
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati...
Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa...
Ingawa neno “uchumba” halipatikani katika Bibilia, tumepewa kanuni kwamba Wakristo wanastahili kupitia kabla ya ndoa. Kanuni ya kwanza ni kwamba ni lazima tutafautishe mtazamo wa dunia kuhusu...
Baada ya penzi zito na mpenzi wangu, tena penzi ashteashte nakumbuka kuna day alianza niandaa kisaikologia kuwa nisitoke home, anashida ya muhimu nami, nilipojaribu kumsisitiza kuwa nachokifatiria...
Habari zenu
Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne...
Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.
Shanga ni kivutio cha asili kwenye...
Pambania unachokiamini, watunze unaowapenda,waheshimu wanaokupenda, mshike anayekushika, mpende anae kupenda, usipoteze mda kwa asiye na mda na wewe, life is too short!
Ukimpata anae kupenda...
KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔
1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza.
2. Mtu wa kulalamika tu.
3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu.
4...
Kuna tabia ambazo tuseme ukianza kuziona kwa mtoto wa kike ambae ni mpenzi wako kama ilivyokuwa zamani unajua hapa kuna kitu hakipo katika penzi lenu kama zifuato.
Hakutafuti usipomtafuta...
Habari zenu wakuu,
Ndugu sio kama marafiki, ndugu atuchagui ila tunajikuta wapo kwenye maisha yetu tu. Ndugu ni kiungo muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu hasa pale anapokuwa chanya kwako.
Kwa...
Onyo: video hii ni yakuogofya hatutohusika kwa mfadhaiko wowote utakaokupata
Ndugu zangu leo sina mengi nipo na hawa viumbe wapenda wadada wa kazi na wao kazi yao kufuga kucha na kusuka minywele...
Ni kinyume na maadili na ni uchafu kufanya mapenzi na mwanamke kinyume na maumbile.
Ukikutana na binti anataka kufanyiwa namna hiyo ni bora uondoke.
Tuache kabisa!!
Karibuni tena kwenye kiota cha Malavidavi hapa JF, leo Mjanja M1 nina swali kwako Mdau.
Ni kweli unampenda mpenzi wako au unamuonea huruma tu?
TIRIRIKA MKUU HAKUNA ANAEKUJUA HUMU.....!
Umuhimu wa kumuombea mume wako
Kumuombea mume wako ni muhimu kwasababu unapomuombea mumeo ni kama unajombea wewe. Mafanikio ya mume wako ni ya kwako pia
Unapomuombea mumeo inaongeza na kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.