Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
20 Reactions
156 Replies
5K Views
Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo. Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Igweeh! Nataka nikujibu Kwa ufupi Sana Rafiki yangu Mama Mzungu. Wanaume hawajiamini siku hizi Kwa sababu asilimia 90% walioa Wanawake wasio na Bikra. Ni Bora ujiamini Kwa soda ambayo...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Huyu Kaka tulisha mshauri tangu ana oa aache kuoa mke asie jua tamaduni au miiko la kabila letu, sasa ona kilicho tokea hayo makabila ya kiswahili swahili hawana miiko ndo maana unakuta wengine...
9 Reactions
82 Replies
3K Views
TUPUUZE HUU UPUUZI.UZI UFUTWE.ONE LOVE.
2 Reactions
12 Replies
459 Views
.Kwa sababu hili ni jukwaa la urafiki na mahusiano, basi itakuwa sehemu sahihi kupitia kitabu hiki. How to win friends and influence people JINSI YA KUPATA MARAFIKI NA KUSHAWISHI WATU DALE...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Shalom, Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe. Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi...
4 Reactions
14 Replies
852 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
8 Reactions
150 Replies
4K Views
Haya jamani, Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love. Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
10 Reactions
92 Replies
2K Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
39 Reactions
191 Replies
4K Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku...
19 Reactions
68 Replies
4K Views
Eti akinamama na akinadada kweli? Ndio tumefika huku? Sasa pengine mtu kateleza tu kwa bahati mbaya au alipitiwa kidogo na sheitwani? Half sasa huyo si anaonyesha anakujali au? Mnyonge...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Hiki ni kisa ambacho kinaweza kuwagusa wengi hasa wale vijana wa kiume katika maisha ya mahusiano. Mara nyingi unakuta katika pilikapilika za hapa na pale za kusaka mpenzi/mchumba, kijana wa kiume...
21 Reactions
414 Replies
23K Views
Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine...
17 Reactions
46 Replies
3K Views
Habarini za pilikapilika wakubwa, Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa. Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa...
7 Reactions
96 Replies
12K Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… Sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
10 Reactions
199 Replies
6K Views
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari...
15 Reactions
66 Replies
5K Views
Kingekuwa kinatolewa baada ya miaka mitatu ya ndoa, ungekifuatilia?
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Mamdogo Penny Money Penny enhe! Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy money penny: kwanini? mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3 money penny: ana umri gan...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom