Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwema wakuu? Mwenzemi mepatikana aisee nina mwanamke huyo ni mbishiii na mjuaji anapenda kushindana saana na mimi yaaani nashindwa kumuelewa Ila nikimzimgua kidogo tuu kuachana ananza kulia...
12 Reactions
84 Replies
7K Views
Upo zako unagonga menu, mara Paap watu usiowajua wanatolea udenda msosi wako. Utafanyaje?
8 Reactions
10 Replies
456 Views
Hii ni kwa wale ambao 1. Wako single Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli?? Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi? 2. Mlio kwenye mahusiano...
7 Reactions
35 Replies
853 Views
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema muda ni mwalimu mzuri. Hili linaonekana wazi kwenye maisha ya wanawake. Labda tuzungumzie mastaa fulani wa kike ambao wanajutia sana maisha waliyoishi miaka ya...
17 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile. Mapenzi kwa mwanamke(achana na...
23 Reactions
64 Replies
8K Views
Jambo hili nililiona kwa ndugu, rafiki na mwanafunzi mwenzangu tukiwa masomoni huko chuo kikuu. wakati huo nilikua mshirika wa unywaji kabla ya kuamua bila shuruti kuachana na hiyo habari kwa...
2 Reactions
17 Replies
888 Views
Jamaa kafumaniwa Hotelini, kaona mambo yasiwe mengi kaamua kujirusha kutoka ghorofani
7 Reactions
82 Replies
6K Views
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada. Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha...
75 Reactions
291 Replies
19K Views
Hongereni kwa wiki mpya na poleni kwa msiba wa Gardner, mtu wa watu hajitangazi ila watu ndio wanamtangaza uzuri wake, Mchaga wa watu kaacha mtoto na mke, na mtalaka wake Lady Jay Dee. Ulimwengu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa...
11 Reactions
188 Replies
8K Views
Hiyo ndio asili ya Mwafrika. Kiasili na kwa utamaduni wake Mwafrika sio wa kuwa na mke mmoja. Turudi nyumbani kumenoga. Kwani kuna kwere eti wajameni?
6 Reactions
15 Replies
562 Views
"Never under estimate the mind of a woman" anaweza kukufanyia lolote la ajabu bila we kulitegemea, mgine alikatwa umme wake kule Shinyanga na mkewe kimasihara kwa sababu ya wivu wa kua na mke...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeketi zangu room, sina habari, nje wameketi Mwanamke mmoja wa 1998 na mwingine wa 1979... Wote wameolewa 1998 Mume wake ni wa 1990, na wa 1979 mume wake ana miaka 70+ Huyu wa mwanamke wa 1998...
13 Reactions
83 Replies
4K Views
Wanawake wa mjini tupunguze series za wanaume, unajikuta una mwanaume wa 15 bado unawaza kuolewa. Hawa vijana wa mjini hawaoi bora umkamate lizee hapo uwe mke wa pili au watatu kuliko kuhesabu...
10 Reactions
41 Replies
1K Views
Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke...
10 Reactions
39 Replies
6K Views
Umepanga mahali, halafu kila siku unaona Mpangaji mwenzio anaingiza Malaya ndani kwake. Unajisikiaje wewe kama Mpangaji? NB: UNA MKE NA WATOTO.
4 Reactions
36 Replies
2K Views
1. Watu watakuheshimu kulingana na jinsi unavyojiheshimu, unavyozungumza na watu na jinsi unavyowatendea watu walio karibu nawe kwa heshima na nguvu nzuri. 2. Hakuna kiasi cha rushwa kinachoweza...
3 Reactions
4 Replies
404 Views
vipi kwema lakni?? Wanawake wamekuwa kwenye shida sana siku hizi, hata akiwa kwenye mahusiano bado anakuwa hana uhakika Kama kuna ndoa kweli au lah, na kwa kuwa wanaume wanajua wazi kwamba...
9 Reactions
39 Replies
39K Views
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa. Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu...
30 Reactions
153 Replies
6K Views
Wapendwa wana MMU. Kumekuwa kukisemwa mara kadhaa kuwa ukifanya mapenzi na mtu mnatengeneza muunganiko fulani ambao unakuathiri kwa namna moja au nyingine. Wengi wetu tulivyoambiwa tulibaki na...
25 Reactions
127 Replies
28K Views
Back
Top Bottom