Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwa taarifa yenu tu akina dada, ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake ambao hawajatumika sana ktk migegedo. Japo ni ngumu kuwatambua lkn wengi wao wamekuwa wakiwapima kwa utundu wao...
61 Reactions
506 Replies
61K Views
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati...
15 Reactions
323 Replies
6K Views
Kuna wa Dada wanamajaribu SMH Hivi kweli mtu anakupigia simu ya biashara saa 7 usiku ? imekaaje hiyo
8 Reactions
67 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani Mifano ni mingi,mfano...
16 Reactions
96 Replies
5K Views
Kuna binti hapa ananiambia eti amekua kwenye mahusiano kwa mwaka mzima ila kwa kipindi.chote hicho jamaa hajawahi kumkojoza hata mara moja. Anadai genye za muda mrefu zimesababisha awe frustrated...
24 Reactions
374 Replies
15K Views
Au bidada ni mzushi?
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Kumbe mabikra bado wapo? Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana Jamii Forums, Kwa mtazamo wangu kuchepuka ni tabia ya mtu inayotokana na kuendekeza tamaa za mwili, ndiyo maana wanasaikolojia wamethiibitisha hilo kuwa ONCE A CHEATER...
4 Reactions
6 Replies
794 Views
Hello! Jf members ! Karibu kwenye uwanja huu tukutane wanasaikolojia, wahitimu na wanaoendelea na masomo ya saikolojia! Psychology is the study of human mind/brain and behavior (saikolojia ni...
9 Reactions
151 Replies
20K Views
Ndugu zangu za ASBH, najua wiki imeanza na kuna watu Ijumaa na Jumamosi wanatarajia kuoa. Vyema, nkasema niwashauri bado wana nafasi ya maamuzi hizi siku 4-5 zilizobaki. Kama unahisi hauko tayari...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Angalia huyu kijana anachosema,
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta...
2 Reactions
5 Replies
496 Views
Mungu hakika jabali Muumba, Allah, Jalali Kamuumbia mja akili Yake pekee si ya wawili Uko na wako mwandani Mwanyegezana kitandani Watazama ute ute kidoleni Naye mwali aupepea ukuni Wote...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto. Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume. Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa...
13 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat...
18 Reactions
133 Replies
4K Views
Habarini zenu, natumaini mu wazima wa afya. Siko vizuri kwenye kuandika lakini muhimu ni nyie kuelewa ninachohitaji na kutoa maoni yenu. Kuna binti nilikua nae kwenye mahusiano lakini hatukuwahi...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Uzi umefutwa maana unaharibu biashara za watu.
19 Reactions
32 Replies
2K Views
Hivi unaamini mapenzi siyo ku cheat ndo utamu utaisha? Mnaweza mkawa mna cheat na mapenzi yakawa matamu. Shida ni kuchokana, hapo ndo mwisho wa penzi.
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Naomba tutoe ya moyoni ili kuponya walio nyuma yetu wasifanye makosa na kuifanya ndoa kuwa taasisi imara zaidi. Nilichokuja kugundua kuna mengi waliotangulia hawakuniambia ukweli na sijui ilikuwa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom