Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina...
13 Reactions
104 Replies
4K Views
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
26 Reactions
127 Replies
13K Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
40 Reactions
99 Replies
5K Views
Zingatia hicho kichwa hapo juu Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
24 Reactions
158 Replies
5K Views
Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda...
12 Reactions
123 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo...
68 Reactions
312 Replies
33K Views
Yes mpenzi H nmeshindwa sasa , its cool to admit this break up i swear it will not be easy ,it'll do me dirty but my heart no longer beat for her. Yes ni vile uliniona ni great guy with sense...
11 Reactions
101 Replies
5K Views
Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani...
25 Reactions
123 Replies
3K Views
Matokea mengi ya vinasaba au DNA yanaonyesha katika ndoa nyingi kuna mtoto ambaye baba yake si wa ndoa hiyo pasipo kujua. Je tatizo ni uaminifu katika ndoa au kuna tatizo lingine likiwepo na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Don’t ever beat your wife for any reason. Prov.19:11, Prov. 20:3 2. Don’t ever forget that your wife is your greatest asset. Prov. 12:4, Prov. 18:22 3. Don’t ever forget to check the level...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uki refer heading ni namaana ya kuuliza ya kuwa huu msemo unaosambaa ya baba mwenye nyumba kulala na binti yake au mama kulala na kijana. Hivi haya mambo kweli yapo au inakuaje. Sasa huo tuseme...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo...
4 Reactions
18 Replies
811 Views
TANZIA : YONA FARES MARO AMETANGULIA, AMEACHA UJUMBE HUU "Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi. "Tukio la jana usiku na leo asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado. wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia...
39 Reactions
165 Replies
13K Views
Nimekuwa nikipendwa sana na wake/madem wa watu, na kwakuwa najiheshimu mno ni wachache sana ambao wamebahatika kugegegwa nami. Hawajawahi kujuta kuwa nami, wakiamini nawagegeda barabara kuliko...
12 Reactions
219 Replies
17K Views
Nimemsoma dada mmoja kwa masikitiko sana jinsi ambavyo ameahidi kwenda kugawa sehemu yake ambayo inapaswa iwe ya siri huyu dada aliolewa akawa anafanya tendo la ndoa na mumewe sababu ndo analala...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo 1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa chuo mkoa flan jiran yetu kulikuwa na Chuo cha Tpsc(wanaita Uhazil enzi hizo) Walikuwa kila term wanaletwa wapya(wakawa wanaita kontena imemwaga) Basi wakija wapya...
11 Reactions
60 Replies
10K Views
Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom