Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Spiritual bond soul tie.Watch who you lay down with.Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki mwilini kwakoo.Ndiyo maana unaweza ukakuta wengine are...
7 Reactions
57 Replies
6K Views
Nini kilikuchochea, kushawishi na kukutumbukiza kwenye kadhia hii nzito ya feheha, na yenye sura ya utumwa binafsi wa kisiri siri? Utumwa ambao ni mzigo mzito unao dhoofisha na kunyong"onyeza...
7 Reactions
112 Replies
4K Views
Wakati watu wawili mwanamke na mwanaume wanapokuwa kwenye kilele cha mapenzi, ni rahisi sana kila mmoja kuchunga kauli zake na kuongea yale ambayo yatamvutia mpenzi wake ili kila mmoja awe na...
14 Reactions
88 Replies
51K Views
Habari Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto. Naombeni msaada...
1 Reactions
34 Replies
735 Views
Kaka zangu mkiwa mnalelewa kuweni wapole. Ukileta ujuaji yatakukuta kama ya huyu kaka kwenye video. Unalelewa halafu bado unacheat?
7 Reactions
81 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari za weekend wakuu Kuna wakati mwanaume hutaki kukaa nyumbani kukwepa makelele ya mwanamke na maneno mengi yasiyo na mpango. Ila kuna kipindi mwili na akili vinachoka kudhurura...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Penny buana me nina makasiriko. Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar. Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo. Simu hapokei. Money Penny: Hizo hela mlipeanaje...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Ila familia za Kiafrika ni noma sana, nina shemeji yangu ambae hajaanza shule. Wewe Je?
2 Reactions
11 Replies
461 Views
Mwanamke mswaki wake ni mwanaume, Mwanaume ndio mswaki pekee wenye radha yake uliotengenezwa ili kumsukutua mwanamke. Hata ukitumia kitu kingine huwezi kupata radha kama ya mswaki halisi. Ile...
6 Reactions
94 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati huu... Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu mchumba wangu ambaye ni Mcha Mungu, bikira, mpole, mkarimu, mzuri n.k. Nimegundua kwamba huyu mwanamke ana karama ya unabii pia...
32 Reactions
203 Replies
7K Views
Matukio yaliyonikuta mpaka nikaacha nyeto na kuhama CHAPUTA forever. Dhumuni la kuleta uzi huu ni baada ya kuona kuna watu wanateseka sana na upigaji wa nyeto na wengine wanatamani kuacha ila...
61 Reactions
226 Replies
17K Views
Habari za muda huu wazee wenzangu. Poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nyakati hizi kumekuwa na malalamiko na manung'uniko sana kwenye vyumba...
11 Reactions
86 Replies
2K Views
1. KIWANGO CHAKE CHA UVUMILIVU KTK SHUGHULI ZA KIUCHUMI. angalia amefanya shughuli ngapi za kiuchumi mpaka sasa, ukikujua kama alishawahi kufanya biashara nyingi kila anayoifanya kabla hajaimaliza...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama mfuatiliaji wa mitandano sasahivi kuna trending ya kupeana awareness na miongozo kuhusu mahusiano hususani suala zima la kuwa SIMP. Hii miongozo mingi imekuwa ikiwahusu wanaume maana wanaume...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Kwanza mshukuru Mungu kwa kuwa mzima bila kasoro yoyote kama ulivyo, sasa twende kwenye mada. Kuna kijana mmoja tulikutana kwenye group moja la Dini, baada ya mimi kushusha nondo flani na makala...
16 Reactions
161 Replies
15K Views
"Baby ili tuendelee na mahusiano acha kuvuta bange"" baada ya kuniambia hivyo nikamjibu tu kwa kifupi, ujue mpenzi nikivuta nakuona mzuri kuliko kawaida sio kama nisipovuta halafu nikiacha mchezo...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Shalom, Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu...
2 Reactions
12 Replies
574 Views
Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu. Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kaka zangu..... Hebu kabla hatujalala tuambiane kakitu. Kuna wanawake Mungu amewapa tu akili nyingi. Yaani naturally tu ana akili sana, ana mawazo ya mbali sana, ana upeo mkubwa, amekomaa...
7 Reactions
15 Replies
582 Views
Mimi ni kati ya wale ndugu wasiopenda kutongoza, ni mtu wa kuweka mitego tu bidada anaelewa mwenyewe hapa anaombwa utamu. Mind you, huwezi mpata kila msichana kizembe namna hiyo. Hakika harakati...
40 Reactions
61 Replies
4K Views
Back
Top Bottom