Shalom,
Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi.
Unapoingia...
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa.
Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke...
1. Every girl is beautiful, it just takes the right guy to see it
2. Sometimes creating a little distance will help people recognize how much you actually mean to them,
3. The best person in...
Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya...
Niliwahi kuwa na mpenzi mmoja, kwa maelezo yake akawa anasema ana shida ya uzazi hawezi kushika mimba, basi nikawa natoka nae cha ajabu kuna siku anakwambia yuko siku za hatari so tusifanye.
Basi...
Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana.
Mwanamke au mwanaume...
Hey guys..!
Huwa napenda kuja hapa na uchiinga' wa hapa na pale, ila naombeni Leo niwe serious kidogo, hii ni issue ya kweli kabisa ya maisha yangu..!!
Sijui kwanini nataka kushare kama ni...
Ya kale Ni dhahabu ndiyo kitu ninachoweza kusema, Kwenye ndimi za waliotutangulia Basi Kuna hekima ndani yake.
Miaka iliyopita wazazi wetu walikuwa wao ndiyo wanapendekeza mtoto wao wa kiume Ni...
Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa.
Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa...
Alipomaliza chuo, nilipomuambia mambo ya kumuoa, akaniambia hapana, subiri mpaka nipate kazi, kuna mambo namalizia, nikajitahidi kuhangaika, kuna mshikaji wangu akamuunganishia, akapata kazi...
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu...
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati...
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu!
Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea...
Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka 18-22 wana mapenzi ya kweli. 22-24 wana mawenge. 24-27 wanajitambua. 27-30 wana hofu na mashaka mengi. 30-35 wana...
1st Portion:
Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo...
Wakuu, hapa sizungumzii mambo ya mapenzi.
Wanaume tumeumbwa tofauti na wanawake na kiasili kwa mtu aliyekamilika inapaswa upate hisia 'feelings' za asili za uwepo wa jinsia kinzani pindi...
Wasalaam JF,
Ni dhahiri mwanaume anapata sana kero za mwanamke kutofika kileleni, kwenye hili wanawake walaumiwe wenyewe, hisia zako hamu zako kiungo chako ukitaka raha na utamu mwanamke...
Wakuu najihisi kupagawa nahitaji ushauri nasaha kutoka kwenu kwa hili maana sote tunajua tabia za hawa wenzetu waliopo humu.
Wakuu hii ishu ni serious kejeli na mizengwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.