1. ACHANA NAYE na ulee watoto wako uliowapata ukiwa na mkeo. Unaweza kuamua kuoa mwanamke mwingine ama kubaki mseja daima.
Kumbuka ukiamua kuoa tena hutapata malaika mwingine bali utapata mke...
Niliachana na aliyekuwa mume wangu miaka 5 imepita, kuachana kwetu kulikuwa kubaya sana kwa mambo mabaya yaliyopita katikati yetu. Sipendi kuyaeleza maana ni mabaya ila nilishayasahau na kuyaacha...
One day you are Married to Your Soulmate then you Watch them turn into Someone Else....; Sometimes you are so in Love with who a Person was, you can't bring yourself to Love who they have...
hii ni similuzi niliyoitunga nilpokuwa shuleni Pugu Sec. School yaani ni BOEZ. Ilkuwa mwaka 2020 October baada ya kumaliza form 4 matokeo yangu hayakuwa mazuri kuendelea na advance yaani kidato...
Habari zenu ndugu zangu,
Leo nimejisikia kuwapa tafsiri halisi ya neno mapenzi, wadogo zangu mliokuwa humu na watoto zangu pia kwa ujumla, kokote ulipo ukiulizwa nini maana ya neno MAPENZI, Jibu...
Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba.
Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika...
Salute Comrades!
Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili.
Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially...
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi
1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini
2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu)
#upambanaji...
Huwa inaweza kutokea mmoja wenu kutangulia mbele ya haki, japo hatuombei maana maisha si yetu ni majaliwa ya yeye aliyetuleta hapa Duniani.
Mimi aisee ninavyojionja ni BIG NO, siwezi tu yaani.
Habari za siku waheshimiwa wa MMU poleni na wikiendi na mihangaiko ya kusaka chochote kwa ajili ya familia.....
Bila kurefusha maelezo ngoja niende kwenye mada moja kwa moja ni kwamba kwa siku...
Wasalamu,hii kitu inanichanganya sana,unaweza Kuta mwanamke ana sura,ana Tako ila Tabia ni sio nzuri kivile.
Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa...
Hii imetokea nchini Kenya.
Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari.
Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha...
Ndugu zangu niwape pole sana kwa taarifa zilizotufikia
Wakuu wangu kuna kazi ambazo mwanaume akizijua na kuzifanya kwa weledi wa hali ya juu basi kuoa ni kazi sana
* Kuosha viombo vingae na...
Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa...
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.
Yeye anataka ku impose sheria zake na...
Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”...
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na...
Mimi huwa nasikiliza Kuna mwimbo mmoja hivi wa jamaa wa kuitwa [toxic_jinai] asee hili ni bonge moja la pini kwangu huu wimbo haujawai kuniangusha hasa pale mpenzi wangu inapotokea kanikosea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.