Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mara kadhaa nimeona mijadala humu kuhusiana na single mothers, kwa wengi imekuwa ni ushujaa kuwasema vibaya hawa wanawake wenye mtoto ama watoto na kwa kweli walioamua kulea watoto wao bila uwepo...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha...
16 Reactions
232 Replies
30K Views
Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume...
25 Reactions
104 Replies
4K Views
Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote. Sasa basi...
7 Reactions
73 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa...
21 Reactions
147 Replies
7K Views
Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu. Ngoja nikuelezee kidogo, 1) Kitu kilichotumika mara...
23 Reactions
104 Replies
3K Views
Maneno ya wazazi kwa watoto yana nguvu sana katika kuwawezesha watoto kufikia malengo yao katika maisha; vilevile yana mchango mkubwa sana kudidimiza vipaji vya watoto. Maneno yanajenga taswira...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu leo nimejikuta matembezi yangu yanakomea hapa ambapo nimevutiwa na huu mjadala ambao kiuhalisia uenda una tafsiri kubwa na maana zaidi ya moja katika kuijenga jamii. Mjadala...
1 Reactions
1 Replies
409 Views
WATENGE MARAFIKI KATIKA MAKUNDI Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Kutokana na utafiti nilioufanya katika miaka yangu 32 niliyoishi duniani, nimejifunza kuweka marafiki katika makundi mane (...
3 Reactions
1 Replies
481 Views
Sina Imani Sana, mke niliemuoa, Na kila jambo ninalofanya nafanya kwa Kiasi. More Expection, inaweza nifikisha pabaya, kweli nampenda mke wangu Ila nimejipa kiasi ili lolote likitokea niwe...
8 Reactions
23 Replies
872 Views
Kwenye maisha kumbuka jambo moja, wenzako wanapoleta mezani chakula halafu wewe huleti, inawezekana wewe ukawa ndiyo chakula chenyewe. Unaelewa hilo? Duniani hakuna kitu cha bure zaidi ya salamu...
133 Reactions
905 Replies
37K Views
ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi...
13 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanawake ni viumbe ambavyo kisaikolojia ni tegemezi,,, kwa hiyo wameumbwa kumtegemea mwanaume katika nyanja mbali mbali na si lazima liwe swala la kiuchumi. Si ajabu kabisa mwanamke akawa na...
6 Reactions
26 Replies
969 Views
Hekima 1 Unaweza kuwa kiongozi mzuri bila kuanika madhaifu ya mtangulizi wako Rekebisha kwa kadri unavyoweza matendo yatasema yenyewe. Hekima 2 Unaweza kueneza Imani yako bila kuisema vibaya...
9 Reactions
30 Replies
792 Views
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao.. Wengi wao wanafika umri...
31 Reactions
175 Replies
23K Views
Uzi huu nime uandika ili uwe Kama kengele ya ukumbusho, kwa kila mmoja wetu. 👉 Maana kumezuka na Mambo ambayo yame kuwa Kama kikwazo, kwa baadhi ya watu katika safari ya maisha yao. WIVU, kila...
112 Reactions
1K Replies
30K Views
Late Night questions yow! Wiki hii nimeshinda sana Sinza, yani nahisi wiki ijayo ntakuwepo pia maana sinza nako kuna ubuyu hatar Sa nikawa nakula bar, pembeni yangu wakawa wamekaa wanaume 6...
6 Reactions
268 Replies
53K Views
Kama mzazi mwenye watoto wanne(4) kiukweli kati ya hawa yupo kipenzi zaidi ya wote ninayempenda mno iwe kwa kudhihirisha ama kwa kutodhirisha. Ni kweli upendo ama mapenz hayagawanyiki lazima...
1 Reactions
0 Replies
274 Views
Back
Top Bottom