Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ulikuwa wapi mbona ume chelewa??, I looked for you kila Kona ila siku ambulia kitu!!? I even asked majirani ila nao hawakuwa na jibu la kunipa, zaidi ya pole (damn). Sorry about that day, nawe...
17 Reactions
147 Replies
3K Views
Habari za wakati huu Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza na wanaume...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Nina shangazi yangu hapa mjini Dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata...
18 Reactions
47 Replies
7K Views
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha. Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Moja, Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto. Tukio hili humsababishia...
23 Reactions
131 Replies
84K Views
Hii mada ni complex kidogo. Hivi kama mapenzi ni kati ya watu wawili me na ke, how come kwenye jamii ionekane kama mwanaume ndo kampenda mwanamke? kuna utaratibu kwamba mwanaume ndo anatakiwa...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi. Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda...
3 Reactions
7 Replies
668 Views
Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao?? Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo...
17 Reactions
54 Replies
2K Views
WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo...
25 Reactions
281 Replies
8K Views
Wengi wao wakiwa na umri wa miaka 18-25 huwavutia wanaume wengi kwa ajili ya Ndoa ,lakini wao huwa hawapo tayari kuolewa kwa sababu mbalimbali 1. Umri wangu Bado mdogo kuolewa 2. Kwa sasa Bado...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii. Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
13 Reactions
37 Replies
2K Views
A boy is attracted to girls. A man is attracted to women. Now, this has nothing to do with the actual age of a person. I'm referring to maturity, life vision and stage of life one is in. In...
1 Reactions
1 Replies
970 Views
Kwema Wakuu! Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli. Wrong information Unakuwa...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika jamaa kwa hizi wiki mbili ameiteka JF. Ukitaka kuprove hili angalia reaction ya watu pale aliposema amesitisha story yake. Unaweza kuwa na story nzuri lakini ukashindwa...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Unakuta kuna Mwanamke hana Bikra na kasha-Do na watu kadhaa lakini mwisho wa siku anamuomba mungu ampatie mwanaume mwenye hofu ya mungu. Zingatia: Wanaume wenye hofu ya mungu huwa wanaoa...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Binafsi nashindwa kufanya tukio la aina hii, sijui ni ustaarabu au niceness ndio imenijaa ila kujibu majibu makavu huwa inaniwia ngumu. Hebu share nasi majibu makavu uliowahi kumpa mtoto wa kike.
3 Reactions
28 Replies
5K Views
awe mwanamke popote ulipo kaa ufurahi kuzaliwa mwanamke.wewe ni kiumbe muhimu sana kwa mwanaume,umbo lako,sura yako,sauti yako vyote ni alama ya urembo na umuhimu wako.jitunze,jilinde na jiweke...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Back
Top Bottom