Ni miaka 2 Sasa toka nikate mawasiliano na aliyekuwa mchumba wangu. Jmosi iliyopita amenitafuta baada ya hiyo miaka 2! Tulidumu kwenye mahusiano kama miaka 3 na miezi kadhaa kutokana na changamoto...
Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi.
Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6...
Nilikuwa na mahusiano na pisi kali balaa (mchepuko), kutokana na uzuri wake akawa ananipiga mizinga mara kwa mara, mpaka ikafikia nikawa navaa suruali moja kauka nikuvae.
Kutokana na uzuri wake...
Sheria ya ndoa imemtasfiri mwanamke wa kizazi cha nyuma kidogo ambae alikua na maadili mema, mtiifu na ana dhamira ya dhati kuidumisha ndoa yake. Kwa sasa wanawake wamejanjaluka na washaona sheria...
Wakati dingi anatwambia hii kauli mimi na mdogo wangu, hapo alikuwa amevimba kwa hasira akiwa hana cha kufanya.
Nakumbuka enzi hizo na mdogo wangu, mimi nikiwa kidato cha nne, mdogo wangu akiwa...
Twende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa...
Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani
Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu…
Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa...
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa...
Ile unatembea sehemu alafu unakuta kilinge cha wanawake wamekaa wengiii, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.
Yesu na maria...
Watu wengi wanashindwa kutofautisha mahusiano na mapenzi.
Siyo kila uliye naye kwenye mahusiano ana mapenzi na wewe. Mapenzi (love) hupatikana kwa mtu au kitu chochote kinachofurahisha hisia...
Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana.
Akijipata ndio utajua...
Mshikaji wangu baada ya kunusurika kwenye ajali nyingi na misukosuko ya mahusiano ikabidi aanze kushirikisha watu Ili apate mke sahii wa kuoa.
Kwenye harakati hizo huku akiendelea kumuomba Mungu...
Usiombe uingie kwenye 18 za hawa upcoming wa 2000 ni balaa, wanapiga shoo kali sana, unachotakiwa mpatie vibes anazotaka, mfano pombe na msosi.
Hivi vitoto vya 2000 vinajua mpaka vinakera shoo...
ACHA KUJIWEKA KINYONGE NYONGE, TAFUTA MARAFIKI NA ACHA KUWA MTU WA HASIRA!
(1) Umejitenga kabisa na dunia kwanza mkimya, hujichanganyi na watu wengine, unajiona mtu wa Mungu sana kiasi kwamba...
Mughonile!
Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa.
Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra.
Kama kuna Mwanamke Bikra na...
Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza...
Huko duniani kuna vita kati ya watoto wa buku mbili na hawa mashangazi wa kizazi cha zamani.
Watoto wa 2000 wanawapeleka mbio sana mashangazi kiasi cha mashangazi kutamani kurudia usichana wao na...
Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.
Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.