Hii ni mahususi kwa wanaume tulio oa .....siku zote nipende kusema ngono ni starehe tu kama starehe nyingine.
Kwa sisi ambao starehe yetu kubwa ni vidudu vya akina dada basi tumejikuta hii...
Habari wakuu,
Nimewakumbuka sana...
Husika na kichwa cha habari kisemacho AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya kunako sita kwa sita.
Bana acha jua linawaka jamani yaani joto ni...
Habari za muda huu ndugu zangu, nimekuwa na changamoto nyingi ila kuna moja nikitafakari naona haijakaa sawa.
iko hivi; inatokea tu mtu from no where hasa ninaofahamiana nao wananiomba pesa, kuna...
Tofauti na zamani siku hizi vigezo vya mwanamke kumkubali mwanaume ili awe mume na baba watoto wake vimeongezeka maana wadada wanajanjaruka siku hadi siku. Zamani muhimu ilikua 1. Anatoka kwenye...
Mvua inaendelea kunyesha mjini hapa na bila shaka kila mmoja anachukua tahadhali stahiki ili kuendelea kubaki salama.
Hongereni sana mnaopendana. Mliopendana bila kujali hali au mazingira ya...
Binafsi mimi ilikuwa 2022 hiyo natoka zangu Dodoma kuelekea Kibondo Kigoma, basi apo mjini Dodoma nikapanda SATCO inayoelekea Bukoba ili nikashukie Nyakanazi theni niunge na Casablanca (Wenyeji wa...
Habari za mda tena, nawasalim kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hivi ikitokea siku miongoni mwa siku ukajua kuwa mzee/ Bi mkubwa wako anatoka kimapenzi na mpenzi wako ambae ndiyo...
Habari za muda huu wakubwa!!.
Hivi siku ikitokea umelala na mke wako asubuhi, halafu ukasikia mlango umegongwa mkeo akaenda kuangalia ni nani alafu anarudi kwa upole na mahaba anakuambia baby...
Smile, smile and brighten my day.
Is it too soon for me to feel the urge to have you close to me?
Dream about your kiss
Wish we had a past to remisce?
Is it too soon for me to wish that we...
Rafiki nilienae mimi ameakua akinishauri vitu ambavyo vina matokeo mazuri katika maisha yangu: that why he's my best friend.
Share your experience about your best friend na nikitu gani...
Wakuu kwema ?
Nilikua na wazo la kuzaa kabla ya kuoa kutokana na presha ya ndugu na jamaa, ya kutaka mjukuu kama tunavyojua familia zetu.
Lakini baada ya kuongea na baadhi ya watu wenye uzoefu...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Nimeamua kujiengua rasmi kutoka kwa binti wa kimeru niliye mzimikia kwa akili zangu timamu hata kufikiakuhitaji kumuoa,
kipindi cha nyuma niliamua kumuanzishia...
Poleni na pilika pilika za hapa na pale ,
Sisi wanaume tunapitia mambo mengi ya kuumiza na kufurahisha sana.
Huyu jamaa ni rafiki yangu tulikutana miaka mitatu iliyopita yeye ni mmafia ila...
Yaani siku hizi hata wanawake hawaoni aibu? Kweli hii dunia inaenda less sana aisee zama za zamani kusikia mwanamke ameomba rushwa ya ngono unaona kitu cha ajabu sana ila si sasa aisee inashangaza...
Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake
Akiwa ndo wana...
Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae.
Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.