Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sisi tunaoishi maisha halisi huwa hatupendi kuwa karibu na jamii ya watu wanafiki, chawa, waongo waongo, wanao-'pretend', au wanao 'fake' maisha; kwa sababu tunajua hayo si maisha yao halisi na...
7 Reactions
6 Replies
428 Views
Ingependeza uzi huu uchangiwe zaidi na wanaume wenzangu maana naimani Hawa wanajua stuation ninayo pitia, Wanaume wenzangu ipo hivi, mm mwenzenu ni kijana above 27 yrs, Nina mke na mtoto mmoja...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Katika maisha Kuna wale akina sisi ambao Kila tutokapo mihangaikoni tunapitia mahali kuchamba koo kidogo alafu ndo turud magetoni, katika moja na mbili Kuna mahali nimekuwa napendelea kwenda hapo...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
7 Reactions
30 Replies
1K Views
"Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya" Hapo kwenye uwanja wa comment tujitahidi ziwe fupi fupi, pole pole tusikanyagane. #Repost #EARadio
17 Reactions
112 Replies
7K Views
nipo chuo cfany kazi ananiomba elf 20 ya saloon nkamwambia sina mwingine anataka pesa akasuke nikamwambia sina wamenuna
5 Reactions
86 Replies
6K Views
Hataki tena ushauri.....
4 Reactions
10 Replies
535 Views
Habari wanajf, Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo. Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Hapo vip!! Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap? Hivi mzungu...
2 Reactions
19 Replies
873 Views
Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara mikoani kikazi kwani nature ya kazi inahitaji kusafiri ili kutekeleza majukumu. Nipo kwenye ndoa kwa muda mwa miaka 5 hadi sasa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Anaandika Robert Heriel Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu. Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke...
33 Reactions
98 Replies
7K Views
Ndugu zangu salaam sana Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kuishi na mwanamke kabla mwaka huu haujaisha Ila kama tujuavyo huko enzi na enzi hawa wanawake wa kimachame walijulikana kama...
34 Reactions
215 Replies
10K Views
Mezaliwa kijijini, kukulia huko pia, Mazao yetu shambani, mengi tulijivunia, Tukayajaza ghalani, akiba kijiwekea, Tukawa wenye furaha, usiku tumevimbiwa. Nilimaliza la saba, nikarudi kijijini...
0 Reactions
14 Replies
652 Views
1. Wanawake wazuri (warembo) Hawa ni wale wanatumia uzuri wao kama njia ya kujipatia kipato ukioa hawa, hakikisha unakua na fedha kila wakati 2. Wanawake waliosoma ngazi za juu za elimu mf...
43 Reactions
136 Replies
9K Views
Umri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la, Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo…...
17 Reactions
103 Replies
3K Views
Nyie mnaotaka kuingia kwenye ndoa mnapoambiwa shinda na raha sio Kila shida na Raha mnaweza kuvumilia. Kuna mambo madogo yanaweza kusababisha shida na Raha kuwa ugomvi. Msimu huu wa mfungo...
1 Reactions
2 Replies
335 Views
Hapo unaambiwa mtu alifariki watu wakashindwa kumtambua kwasababu sura na sehem zingine za juu, ila dushelele ikawa haijaharibika inaonekana vizuri. Unaambiwa mwana mama huyooo akaangalia...
18 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni kama jini si jini!,labda niseme mzuka lakini ni mzuka gani unawezakuwa mzuri kiasi kisichoelezeka..??! Kufupisha mambo sitasimulia nimekutananae vipi ila baada ya majuma kadhaa yakuzoeana...
2 Reactions
12 Replies
822 Views
Huyu Mwanamke alikua ni Ex wangu wa muda tu, ndo mpenzi wangu wa kwanza kipindi naanza chuo 2019, tupo mwaka mmoja wote. Sikupata tabu sana kumpata maana alianza kuonesha dalili za kunipenda...
14 Reactions
279 Replies
57K Views
1. Gambling 2. Kula sausages 3. Kutumia sukari 4. Kunywa Energy 5. Kulewa pombe 6. Kupiga punyeto 7. Kununua malaya 8. Kuchangisha mahari 9. Kula bidhaa za ngano 10. Kula kuku wa kisasa...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom