Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo Muanze kudai siku zeenu wanaume
3 Reactions
9 Replies
422 Views
Maana kila nikitongoza Wadada anasema yupo kwa mahusiano. Sio poa Inaniumiza kichwa sana kupata ninayemhitaji. Chaajabu kuna wadada wanaonekana kunikubali asilimia zote hata sjawatongoza...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano. Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing, Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja...
39 Reactions
212 Replies
5K Views
Wasalamu, ukiangalia Katika familia nyingi wamebaki kina mama. Kina baba wanakufa sana. Hivi sababu ni nini? Mimi naanza na zangu. 1. Majukumu mazito ya kulea familia 2. Tabia hatarishi Katika...
0 Reactions
8 Replies
532 Views
Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIANO 😔 Je, upo kwenye mahusiano...
5 Reactions
4 Replies
452 Views
Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi. Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na...
15 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari ya saa hii wana jukwaa pendwa, Yani nimekaa hapa nikaona nishee na nyie hiki kisa. Nilikuwa kwa sista yangu mkoa fulani hivi nilipitia hapo nikitokea mahali nikasema niwasalimie. Sasa...
16 Reactions
51 Replies
6K Views
"Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute...
0 Reactions
10 Replies
624 Views
Ndugu zangu. Sipo hapa kukashifu wanawake ila ukweli usemwe vijana wapone, vijana wengi wanafanya kazi ila ni masikini sana kwasababu wanadate na ombaomba. Wanawake wamekua ombaomba sana kutwa...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Ndugu wanaume wote Njoeni hapa tusake kwa pamoja njia mbadala maana wanawake wanatunyanyasia sana tamuu zao maana huwezi kulala nayo ndani na bado akakubania waziwazi kwa kisingizio cha amechoka
2 Reactions
19 Replies
810 Views
Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa...
3 Reactions
15 Replies
963 Views
MUHIMU: Mbinu hii haitumiki kwa magurumbembe na gold diggers, ni kutwanga maji kwenye kinu. BE HER DADDY, MFANYE AKUONE WEWE NI KAMA BABA YAKE, Niseme tu ya kwamba ukiweza kuwa yule mtu anaeona...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau, kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani, akaanza kunichangamkia kwa stori mbili...
44 Reactions
89 Replies
5K Views
Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu...
-33 Reactions
293 Replies
13K Views
Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia. Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka...
28 Reactions
146 Replies
4K Views
Wakuu salaam Hawa viumbe ukiwafukuzia sana wanakukwepa utadhani hawana uhitaji kabisa na mwanaume, mpaka unajiuliza hicho kichongeo kapewa cha nini. Mbaya sana ikitokea amekukubalia baada ya...
3 Reactions
18 Replies
758 Views
"Formula yangu ni ile ile mwaka wa 7 sasa. Nikimtumia baba pesa X mama 2X" - Idriss Sultan Vijana kama hawa wakizeeka ndio wanaongoza kutoa lawama kwa watoto wao wa kiume kuwa wanaegemea sana kwa...
4 Reactions
8 Replies
589 Views
KWANINI ULIKUJA KWA KUSHTUKIZA BABA? Akiwa bado yuko safarini baba anold akajisemea "enhee wacha leo nimsurprise wife" na alitaka afanye hivyo ili kuupima uaminifu wa mkewe baada ya kusikia...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Oi mko murua wadau? Kwahali hii wanaume tuna safari ndefu sana hapa duniani. Kumekua na tabia ya kushangaza sana aisee, unakutana na mdada unaomba mbadishane namba, kabla ya kumweleza nia yako...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom