Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mara ooh naona uko na baridi, mara ooh nije kukupikia, mara ooh ukiangalia pembeni yako nipo. Na ikumbukwe sijachomeka neno lolote la kumtaka in love hapana hua najiuliza huyu mtoto anataka nini...
3 Reactions
57 Replies
16K Views
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja. Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20...
25 Reactions
84 Replies
3K Views
Poleni sote kwa msiba wa Rais wetu mstaafu Mzee Mwinyi. Mungu ampumzishe kwa amani. Kufuatia kifo chake pamoja na kuwa ameishi miaka 98 ametangulia na kuwaacha wake zake. Hii imenifanya...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
1.Ana Aibu 2.Anapenda kupika 3.Nywele Halisi 4.Kucha Safi 5.Hajachora tatoo wala hajapaka Bleach 6.Havai Vans 7.Hatumii Kilevi 8.Hafugi makucha marefu 9.Msafi 10.Mcha Mungu Kama ana 7/10...
26 Reactions
194 Replies
6K Views
Kuna siri za familia, yes maadam mnaishi kama mume na mke kuna vitu vingi mnashea pamoja. Hivyo vinabaki kuwa siri ndani ya familia na hamsemi kwa wengine. Lakini kuna siri kuu. Hii ni yako wewe...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habirini wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada. Tangu nipate japo maarifa kidogo ya kufanya academic research nimekuwa na interest fulani ya kutafiti mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano...
2 Reactions
16 Replies
796 Views
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya Mzee Ruksa, naomba tuchangie hii hoja kwa ufasaha mkubwa Kuna Binti nmekutana nae wiki kama 5 zilizopita ,nasali nae sehemu Moja pia hivyo haikuwa na shida...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena Enyi mabinti Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na...
3 Reactions
15 Replies
704 Views
Huwezi amini, muda huu jamaa na pisi kali yake ndio wanamalizia kuambukizana ukimwi, gono, kaswende UTI sugu kwa styles kama zote na wengine wanajipanga kufanya hivyo leo jioni na usiku wa mwaka...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Nawashauri wanawake wenzangu tuishi vizuri sana na waume zetu ,tuwapende tuwajali pia tuwe na masikilizano ndan ya nyumba sambamba na kufanya maendeleo na kuwa na mchango chanya katika ayo...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii convo ya wapenzi wanaoishi mbalimbali. Angalia hapa jinsi mahusiano ya mbali yanavyoendeshwa na hawa watu.
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Nilianza kimzaa mzaa, nikaanza kujiunga kwenye magrupu ya wafanya biashara, wajasiriamali, wanaofanya fedha za kimtandao n.k kutoka huko duniani. Nimekuwa namwaga nondo nzito, za kibiashara za...
13 Reactions
82 Replies
3K Views
Trippie Redd 's ex-girlfriend claims he took back everything he brought her after their breakup.
4 Reactions
22 Replies
949 Views
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
12 Reactions
98 Replies
3K Views
Wajumbe poleni na harakati za kulisaka tonge.Leo tujadili hili swala la kutamani ntu ya ntu ilhali una Yako.Imekuwa ikitokea Unakuta ntu inanchumba au hata nke ila haishi kutamani ya mwingine...
3 Reactions
9 Replies
345 Views
Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji...
6 Reactions
9 Replies
778 Views
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi! Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku...
30 Reactions
150 Replies
6K Views
Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4...
12 Reactions
163 Replies
5K Views
Wakuu habari, Kama kijana pia mwanafunzi Hapa Duce mwaka wa tatu, kuna jambo moja ambalo siku ya leo nakwenda kufanya maamuzi na sijui hatima yake itakuwa vipi. Kuna binti mmoja hapo IFM, naye...
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom