Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi.
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma...
Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu,
Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto...
Hivi uwa unajisikiaje pale mpenzi wako anapokukumbushia makosa yako
ya nyuma ambayo ulishamuomba msamaha ..akakusamehe...yakaisha na mkaendelea
kuishi???
JF kuna baadhi ya vijana wa hovyo sana, wanatembea na wake za watu kisha wanakuja kuweka Uzi hapa JF tena wakijinadi, doh ni hatari sana. Maana wamesahau kuwa nao miaka ya mbeleni wataoa na cha...
Mambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi...
Wakuu
Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo...
sio kwamba tumeanza sisi zama hizi,toka dahari watu wanatongozeana na kuchapiana.hii haiondoi umuhimu wa ndoa.kuoana ni muhimu na mkioana pendaneni na mjitahidi kuongea kupanga mipango ya...
Heri ya krismasi wakuu!?
Twende kwenye mada moja kwa moja,
Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini,
Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University...
Zuhura, kama unasoma bandiko hili, tambua tu ukweli kuwa nakupenda sana. Natamani nikuvishe pete ili tuishi kama mume na mke. Ni mimi Melki the Storyteller, na maneno haya nayasema kutoka moyoni...
Jambo?
Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.
Mwanamke aliewahi kuwa...
Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3.
Umri wangu kwa sasa ni miaka 46...
Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado.
Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna...
Wakuu I hope mko shwari kabisa.
Kuna jambo liliwahi kunitokea kipindi mdogo, na sijawahi kulisahau mpaka Leo.
Siku ya kwanza kabisa mimi kupelekwa shule, nilifanyiwa kitendo cha ajabu sana na...
Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama...
Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda.
Nikamuuliza kama...
Kumekuwepo na malalamiko mengi pamoja na mijadala mingi sana ya wanaume wa bongo wakilalamika kuombwa pesa au kuhudumia kila kitu kwa wanawake wanaoingia nao kwenye mahusiano hata kabla ya...
Kijiwe maarufu cha starehe kiitwacho Kitambaa Cheupe kilichopo Tabata Barakuda Jijini Dar es salaam kimeteketea kwa moto uliozuka mchana huu ambapo Jeshi la Zimamoto bado lipo eneo la tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.