Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari wana JF Mwenzenu nimeoa (mke mfanyakazi) miaka mitatu iliyopita na kujaaliwa ka baby boy mmoja tu. Tatizo langu ni, mke wangu kamwachia majukumu yooote msichana wa kazi! Kwa mfano...
0 Reactions
115 Replies
9K Views
Maskini waweza hisi....,ni pdidy la hashsa soma habari hii ya kusikitisha pg 9 ya nipashe MKAZI MMOJA WA KIJIJI CHA KASEKEKESE MKOA WA KATAVI MAYUNGA SAMIKE 44YRS AMETUBU NA KUKIRI IBILISI...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa nini mademu wa uswazi hawapendi wanaume wa kipato cha mshahara, wanapenda wale wa kipato cha kila siku? Kama madereva na makonda wa daladala vile
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya. Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.
0 Reactions
127 Replies
9K Views
nini cha kufanya kama umekutana na msichana umempenda saana pia na yeye amekupenda, tatizo ana mshkaji wake na hataki kumsaliti, lakini pia mim ananipenda?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Sina usemi hapo...............................
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Mpaka leo sijawahi kuelewa kati ya mwanaume na mke wakati wakichakachuana ni nani anafaidi zaidi. Nionavyo mwanaume hufaidi zaidi, na hii inajidhihirisha katika kutafutana, mwanaume uhaha kweli...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana. 2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
s. aleykum... akhbar zenu jamani niliwatupa kidogo vp mambo zenu? my hope ua all doing okay.... mi nna swali la kirafiki tuu....nimeona bara niiulize hii hal na vipi niiepuke.... ni kwamba...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Katika pita pita zangu hapa JF nimeshuhudia mara nyingi sana hawa mademu wakimwagiwa sifa kemkem...kama vile wana maji ya kutosha, v.s.m. virefu......na nyinginezo nyingi. Sasa juzi kati...
0 Reactions
63 Replies
42K Views
Jamani! Siku hizi imekuwa ni kawaida sana kwa mwanamume na mwanamke(ambao wanategemea kuoana) kuishi pamoja kama mke na mume. Si ajabu ukakuta mwanamke anakaa mkoa X lakini kila weekend au likizo...
0 Reactions
98 Replies
7K Views
hello people in here....i have a word i wanna share to those who will be concerned on my situation and the one who will take me me from where i`m to another side of new life.....u know...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baadhi ya wanaume wamekuwa na akaunti ambazo hazijulikani na wake zao (Yaani hazijulikani kuwa zipo, sio zina sh ngapi..). Mfano mzuri ni stori ya leo kwenye magazeti kuwa baada ya hali ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Let's THANK them all those who HATED us.. They made us HUMBLE persons; Those who LOVED us.. They made our HEARTS grow FONDER; Those who ENVIED us... They made our SELF-ESTEEM grow...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Fasili yake: Kilugha maana yake ni kuchuruzika maji juu ya kitu. Ama kisheria, ni kumiminisha maji yaliyo twahara katika mwili wote kwa njia maalumu.([1]) YENYE KUPASISHA KUOGA 1-...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
The husband and his wife were not on good terms. In fact, the wife was convinced that he was carrying on with the pretty housemaid, so she laid a trap. One evening she suddenly sent the maid home...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
* Love is just a word until someone comes along and gives it meaning.*
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baba yangu alifariki mwaka jana mwezi wa saba, katika harakati za kufuatilia mali zake tukakuta kumbe nyumba moja imeshauzwa kwa Mpangaji anaekaa humo ndani kitambo tu. baada ya kupekua nyaraka za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom