Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.
Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????
Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya...
Baada ya kuwasikia Not Enough,Kokudo na Gbollin kama mdau wa jukwaa hili napendekeza wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu au wadau wa jukwaa hili wawe wamewakilisha madai yao kabla ya mwisho...
Wandugu,
Leo nimeipata stori ambayo imeniacha mdomo wazi mpaka napoandika thread hii. Eti enzi zile jamaa wa kihaya akioa mke na bahati mbaya au nzuri akisafiri, wadogo zake wa tumbo moja...
Girl you know we belong together
I have no time for you to be playing
With my heart like this
You'll be mine forever baby, you just see
We belong together
And you that I'm right
Why do you...
Hata hivo hata mi sina hakika kama sivunji sheria kwa kupredict kuwa hii thread ambayo Dena alianika private msg hadharani ndiyo imemfanya apigwe ban.
Kama nakosea, nawaomba sana mods...
Haya si maneno yangu ila nimeleta hapa wana jamvi muyaone na kuyajadili.
7. They know how to treat a woman
I'm not just talking about being polite, holding the car door open, waiting by the door...
1. Waweke picha.
Tena zionyeshe pande zote, mbele nyuma, kwa pembeni. Kwenye hiyo picha isiwe umefanya make-up (wadada sanasana), na picha ziwe recent - not more than one month tangia zimepigwa...
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any...
Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia...
Source: Yahoo friends
Where do you fall?
TYPES OF HUSBAND
THEIR CHARACTER TRAITS
1
Bachelor Husband
These are men who
Love to do things on their own without consulting their wives...
Hapo zamani kabla na baada ya mwalimu na hata wakati wa mwinyi ilikuwa mtoto akizaliwa mvua inanyesha anaitwa "mwamvua" akitanguliza miguu wakati wa kuzaliwa ataitwa "sikitu" akizaliwa ijumaa...
Kwa wale waliooa au hata wale ambao wanatarajia kuoa au kuolewa karibuni hebu nijuzeni kama huyo mwenzi wako umemuoa/kakuoa kwa kuwa mnapendana au ni kwa kuwa amekuonea huruma tu kwani akikuacha...
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu...
Wanajf salaam
kuna wimbi kubwa sana la utoaji mimba linaongezeka kwa fujo tatizo ni nini au tumekosea wap?
kuna rafiki yangu ni doctor maeneo ya kijitonyama/mwananyamala ananiambia kwa siku lazima...
katika pitapita zangu nilikutana na mrembo mmoja na katika mazungumzo aliniuliza swali lifuatalo ambalo liliniacha mdomo wazi na kukosa jibu sahihi la kumpa:-
swali lenyewe ni...
Hey!! I have...
WanaJF nimeonelea nianze na hii title ili nieleweke vizuri. Kwa wanomjua rais wa Libya anataka wanaompinga wauwawe ama kufungwa maisha na pia kawaita ni mende(komba mwiko),walevi,wavuta...
Wakuu,
Sijui kama ni mimi tu au na ninyi yanawapata,
utafiti wangu unaonyesha wadada wengi wa hapa jf ni wagumu sana wa kugonga thankx kwenye thread zinazopostiwa na mimi hapa jamvini, uwa...
WanaJF kuna ukweli gani juu ya hili, kwamba vyakula vya boarding schools huwa vinawekwa mafuta ya taa ili kupunguza hamu ya ngono kwa wanafunzi.
Je, mafuta haya ya taa hayana athari za kiafya kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.