Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nahitaji sana kuelewa hili, mara nyingi humu utakuta topic nyingi zinahusu wanawake wa sehemu fulani sijui watamu, sijui wanajua mapenzi, sijui wanawe utakuta wanaume wanajitoa, wanachangia kweli...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Wanaume wengi hivi sasa wanakabiliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam wa masuala hayo. Lakini kuna sababu moja imeachwa nayo ni uvaaji...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Habari wanaJF. Mimi ninaswali tu. Hivi ni kweli inawezekana mtu ajitangaze Mtandaoni anahitaji mpenzi/mchumba akampata na kuishi nae wakadumu kama wana ndoa?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
leo niko idol nashangaa wana jf hamuonekani au ndo mambo ya malovidavi?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za asubuhi?nadhani umeamka salama na unajiandaa kuelekea ktk ujenzi wa Taifa,nilikuwa nina swali ambalo lnahtaji majbu yenu.... Hivi utakapomfumania Mkeo/demu/mume/bwana wako live akiwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hakuna aliye bora kati hawa lkn mmoja kati yao ana afadhali na unaweza hata kuvumilia kero zake pale inapotoke kuwa pamoja ktk maisha. Kwa fikra zako ni yupi unayeza kuishi naye kati ya teja na shoga?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1. It's important to have a woman who helps at home, who cooks from time to time, cleans and has a job. 2. It's important to have a woman who can make you laugh. 3. It's important to have a...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Unapokuwa kijana unakutana na kijana mwenzio iwe safarini, sehemu za kazi ama mtaani. Uzalendo unakushinda na kuanza kurusha ndoana zako kwa mdada. Chemistry inaanza kuwapanda wote. Unaanza...
0 Reactions
98 Replies
7K Views
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU! Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa...
0 Reactions
96 Replies
7K Views
Week end njema wakereketwa wote wa jf
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki. Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki. Za...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
wanajamvi hivi ni kwa nini wanaume huwa tunafarijika sana tunapogundua wanawake tuliowai lalana nao,wanatangaza ya kuwa Tunajua sana mapenzi,hata kuwavutia marafk zao kutamani kuwa na mahusino na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imebidi niulize wanajamvi, manake juzi nimekutana na msichana wa tatu wa kinyarwanda naye pia anadai ni bikira baada ya wawili wa kwanza kudai kitu hichohicho. Je ni kweli kuwa wasichana wengi wa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Daah huu wimbo wa jamuhuri jazz band unaniacha hoi sana hata nikiutafakari cpati maana yake. Shangazi naomba taiti yako, Nijipare nipende niende dance, Sijui kesho ntarudi na mwenge ooh...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana kuna ukweli juu ya hili?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimebahatika kuwa na mahusiano yale ya O distance na wanawake wa hayo makabila. Kwa kweli, kwao ukienda chini ya round tatu, utapewa asante kutoka kwao. Ukitwanga mahindi, unatwanga kweli kweli...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
Uswazi ni kawaida sana kuona mtu anatoka na khanga moja kwenda dukani kwa Mangi Jamani khanga ina hamasa zake kwa wapenda nao mtoto wa mboga saba akija uswazi aone mambo ya khanga moja lazima...
0 Reactions
50 Replies
19K Views
Mwanaume kwa mke wake ni simba, ila kwa hawara ni TEJA!!!!:pout::A S 13::A S 13::A S thumbs_down:
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jaman mwenzenu ninaipenda sana timu ya arsenal kiasi kwamba 2kicheza na kufungwa namkasirikia mpnz wangu na nyumban hakukaliki...nifanyenini? Naomba kuwasilisha
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaume wenzangu..kweli kiasi kikubwa cha wachangiaji wanasema kuwa mke nyumbani huwa kisababishi kikubwa kwa wao kutoka nje ya ndoa. Mke mwenye maneno mengi,mkali,ukifika hom toka dili mapokezi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom