Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wandugu Subhai? takwenya? tukulu kabisa? (salamu jamani) Nimejaribu kureflect mitazamo mbalimbali humu jamvini kuhusu nyumba ndogos nikajikuta najiuliza mawaswali yaso na majibu. Ninaomba msaada...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Ni kawaida kwa sisi vijana tuliopanga vyumba kitaa kuleta vimwana wetu RUM then mnadu the nidfull!!! Swali ambalo huwa najiuliz ni kwamba wakati wanatoka rum na msela wake unakuta wapangaji...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jaman kwa wale wapenzi wa movie za kibongo kuna mtu mabye ashawahi kuiona filam ya mzee majuto ya mtoto wa mama??? je inatofauti yoyote kimaudhui na filam ya shoga ya TINO
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi jamani, elimu sio kigezo cha kuangalia unapotaka kuingia kwenye mahusiano ya kudumu (ndoa). Mdada unaweza kuolewa na mwanaume ambae hajaenda shule kabisa au ameishia shule ya msingi?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa nini mademu wa uswazi wanapenda wanaume wa kipato cha kila siku na sio wale wa mshahara? Naomba kuwasilisha hoja
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida matukio mabaya kama ya kujeruhi,kuua yanawapata wale ambao wametengana baada ya kuwa aidha wapenzi au wana ndoa. Je ipo siku itafika waliotengana/kuachana wakafikia kusema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je? how wil u act if u truely love someone.n u miss him kiasi kwamba u fill lyke flyin whenever he is.kutokana na situation i can b wid him bt i nid him.help! I fil lyke dyin
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana?ni hivi leo nitaanza na hadithi kabla ya kuuliza swali Hadithi x2,hadithi njoo uongo njoo utamu kolea Hapo zamani za kale kulikuwa na babu mmoja na ngamia wake pamoja mtoto...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu kabla ya kujiunga na jf nilikuwa napreview topic tofauti na kuangalia hoja zinavyo kwenda. Huku nami nikipata hoja iliyotokana na topic tofauti ambazo title zake halisi sizikumbuki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF nemeona ni vizuri tushilikiane neno kuu la leo ambalo linasema Upendo kati ya wapendanao haugawanyiki kamwe. Hii ni kutokana kwamba wivu ambao mwanaume unao ndio uleule alionao mwanamke...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sio siri ni Wanaume wachache sana Tanzania wanapata BJ toka kwa wapenzi wao. Likewise ni Wanaume wachache sana ambao wanatumia ULIMI kuwaridhisha wake/wapenzi hasa kwenye sehemu nyeti,chini ya kitovu.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
The six real reasons why women are single Unattached women are blamed for any number of faults, but what about the things they're doing right? By Sexytypewriter, In a recent Huffington Post...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Siku moja kijiji X kulitoa kisa hiki. Baba k na mama k, walikuwa Bahati mbaya mpini hule ukamkosa kunguru na kufikia mtoto wa jina yakadiriwa umri wa miaka mitano na kupiga kichwani na kufariki...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakubwa nawapa hi!ndo nimezama humu ndani!nikaribisheni wakuu!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Men: 1. All men are extremely busy. 2. Although they are so busy, they still have time for women. 3. Although they have time for women, they don't really care for them. 4. Although...
0 Reactions
56 Replies
3K Views
Seriously naona ndovu hazipandi nikiwa mwenyewe. Pleeez drinking budies !! Tuungane jamani. Nipo maeneo ya philips Arusha.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
No way I could keep this to myself.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe JF unaweza kutongoza dume lenzako???!!Na Avatar mzionazo za kike ni minjemba nimefanikiwa lijamaa limoja kwenye ofisi moja ya huduma kwa wateja nikaenda kutafuta huduma nikawa na chabo pc...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom