Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Tumetoka mbali jamani. Japokua nchi yetu haina maendeleo yakuridhisha (ni moja kati ya nchi masikini) bali yapo mambo mengi ya kujisifia na kujivunia kuanzia mtu mmoja mmoja hadi kufikia taifa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari za masiku kibao wanaJF wenzangu. Nashukuru mungu nimerudi kundini salama. Natumai tutakuwa wote sasa nilikuwa katika majukumu ya kujenga taifa na mapumziko pia. Niliwamiss sana ni nafuraha...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani kaswali kadogo ka kizushi tu lakini kanasumbua ubongo kwelikweli. Hivi ni kwa nini wanaume hupenda kumwita mwanamke au msichana "baby" au "mtoto". Tafadhali wajuzi wa haya masuala watujuze.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
:mullet::mullet::mullet::mullet::mullet:Wajameni, last week-end nilihudhuria harusi moja hivi, nilipo fika ukumbini, nilikutana na wanadada takribani wote wamevalia vinguo vya utatanishi!!!? Wengi...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
hello wapendwa wa jamvi hili matata lisilo na mpinzani. jamani naomba kuelewa maana natatizika, eti ukubwa wa k****a ni ndani au nje, maana matusi ya lejaleja kwa wadada wenzangu yamezidi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
"Leo ni siku ya pekee ambayo moyo wangu umeufanya uwe na furaha na amani ya ziada kutokana na matarajio mapya ya mapenzi yetu. Na hii ni kutokana na hatua yako ya kunivalisha pete ya utambulisho...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu waheshimiwa,JPili inasemaje?kwangu ni mbona tu na nina mpango wa kwenda kupunga upepo pale beach. Ni hivi nina ndugu yangu kaingia kutoka Mafia yaani bado mshamba kwelikweli sasa...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Unaandika sms nzuuri ya kuisifia nyumba ndogo yako, unakosea unaituma kwa mkeo wa kweli naye baada ya kuisoma anakupigia kukushukuru kwa sms nzuri uliyomtumia, kwa kuwa hukuwa umelenga kuituma...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nipo chuo hapa SAUT(rokct). Mi mwenzenu kila nktoka lecture lazima nijichue kisa vile vinguo wadada wavaa mpaka main entrace ya mbele inaakisi maudhui yaliyomo. Kwa wk napiga mara 5 tena getho...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
SOMO LA LEO LINATOKA NCHI JIRANI AMBAPO MCHEZO WAKUPENDA SO CALLED TOTOs UMEGHALIMU HESHIMA NA KAZI YA MUHESHIMIWA!!....ebu jionee mwenyewe; Joseph habineza facebook - Joseph Habineza,Rwandan...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarin za kazi wana jamii Forum! Kiukweli nashindwa ata nianzie wapi, nilikua na boyfriend wangu tulipendana sana na hatimae akaomba uchumba ili badae tuishi kama baba na mama wa watoto wetu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Katika mapenzi mambo mengi ya kufurahisha na pengine kusikitisha hutokea. Si ajabu wengine hupigana na hata kufikishana polisi then mahakamani. Wana jukwaa, leo hii ningependa tuelezane jambo...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Natafuta binti plse msaada kwenu
0 Reactions
198 Replies
9K Views
Huwa napenda sana kujua mahusiano ya kimapenzi kwa wanyama, nilichojifunza ni kuwa wanyama wengi wanapotaka kufanya mapenzi lazima dume amtoe mkuku jike na kumdhibiti ndipo anapopewa mchezo,mfano...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana jf nina mdada nilipenda kwasababu zilizopo njeya uwezo wangunikajikuta tumetengana!!ila nimekuwa nikimuwaza kila mara na tunawasiliana ila kwakipindi nilichokuwa sipo naye najua atakuwa na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ilikua ni jioni ya saa 9 unusu, anapiga simu kwa mpenzie mpya anaetwa Tuzo,huyu ni mpenzie wa pembeni yaani anaiba!!Wanapanga wakutane ili waongozane kurudi home!Anampa lifti ya kutoka ofisini...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Habarini great thinkers?? Kama ilivyo ada ya watu kwenda na fasheni ya nguo na viatu n.k ili wasipitwe na wakati ndivyo ilivyo kwa ndoa nyingi za sasa.Watu wanaoa na kuolewa mradi nao...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wapendwa mbona munaniacha njia panda? Jana ni2ma thread inayosema natafuta mpenz wa mkataba.cha kushangaza wa2 wakawa wana complain kwamba nimeanza mapenz nikiwa na umri mdogo.wengine wakadriki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje unakuta mara nyingi mume na mke waliokaa kwa miaka kadhaa wanafanana sura?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Oral sex is the leading cause of oral cancer in the U.S. only 5 hours ago by ?*Vincent Sobotka It may be tough for some to believe considering the amount of deaths caused each year by...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom