Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa yeye hupendelea mapenzi ya "one night stand" sikumuelewa afu nilijisikia noma kumuuliza. Mwenye kujua au aliyewahi kufanya naomba utujuze.....
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Muwe na weekend njema wapenzi love you all...........
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wanajf hivi 2kisema mtu amemcheat mpenzi/mume/mke wake ni lazma awe ame DO na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine au hata kuchat na msichana/mvulana/mwanaume/mwanamke mwingine kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, pleni sana.hata hivyo ni wakati wakujipongeza kwa wiki yote hii kuwajibika. Kwa mimi nimejadili binafsi, nikafikia hitimisho kua mapenzi ni yana independent mandate kuliko kwamba ni suala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JF Ladies and Gents THOSE WERE THE DAYS “WHEN MEN WERE REALLY MEN” AND WHEN BROTHERS USED TO WRITE LETTERS WITH DICTIONARIES! WHERE WERE YOU? IF YOU NEVER RECEIVED LETTERS LIKE THESE...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini wanawake WENGI hata wawe na pesa kuzidi waume/maboifrendi wao lakini wanakuwa wagumu sana kuwapa au kutumia pesa yake na mwenzie??Hata kama mwanaume wake ana mshahara mdogo kuzidi...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Bandugu bapendwa, safari siyo kifo na Mungu siyo Athumani wala Abdallah! Babu DC karudi salama Kamkuta bibi mzima kama malaika Hakuna uchakachuaji hata kidogo Wajukuu hawajambo wote...
0 Reactions
90 Replies
6K Views
Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu; Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema...
0 Reactions
485 Replies
28K Views
Naomba niulize hivi kumbe haya mahusiano hata bongo yapo kihivi???? nimeikuta hapa http://www.fashionjunkii.com/category/Tanzanian+Beauty
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Jamaa ana mpenziwe wamependa kiukweli wanavodai wao nakuelezana hivyo kiasi kwamba,password za bank card,e-mail wamepeana.Wameahidiana hawatakuja kusalitiana milele. Wote hawa wana ujuzi kutumia...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana. mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa...
0 Reactions
113 Replies
15K Views
Baada ya visa vichache vilivyotokea siku za usoni kutoka kwa mke wangu na kujikuta maganzi na faraja zimepungua, Imenitokea tu nampenda sana dada mmoja ambaye ninafanya naye kazi. Nilikuwa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta...
0 Reactions
92 Replies
6K Views
Jana usiku amekuja rafiki yangu ameolewa na ana watoto 2 wiki mbili zilizopita mumewe alikuja na mgeni mwanamke nyumbani bila taarifa kwa mkewe akamtambulisha ni mwanafunzi walisoma nae wakati...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri naomba munisaidie. Huyu ni msichana mwenye miaka 22 sasa ameolewa miaka 4 iliyopita tatizo lake nikwamba mumewe kamwambia akakae kwao mpaka atakapomuhitaji...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Salut!! Nimesikia hiki kisa kimenisikitisha sana. Mwanaume alikuwa na mpenzi wake wakakorofishana mwanaume kamweleza msichana kuwa kuanzia sasa mimi na wewe basi kwa njia ya simu. Msichana...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Jamani naomba mnisaidie hili,mdada mmoja amepitiliza miezi mitatu bila kupata MP ,amekuwa na hofu sana mpaka akaamua kuujua ukweli, Kwanza ametumia Litmus Paper kupima kama ni mjamzito na kwa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wapenzi wa JF, kwa heshima na taadhima ninawasalimu wote. Nimejikuta ninawaza jinsi mimi kama mtoto wa kike ndani ya familia yetu ambaye nina majukumu ya not only to take care of my own family...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
hivi mabib na mababu kama wewe ni mume/mke wangu halaf me nikalala na mwanamke/mme mwingine lakii kwa kuondoa maganzitu, ila moyo upo kwako kwa dhati, utanichukulia kua nimekusaliti??
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Maisha starehe enzi hizooooo!
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom