Tulikuwa wahisani wenye mapenzi tele
Ukanipa mapenzi na mkate wa mchele
Leo nini kimesibu waniona uwele?
Au tofauti zetu dini wanipigia makelele
Kina unapokomenti unanichanja chale
Unipokea kwa...
For attractive lips, speak words of kindness.
For lovely eyes, seek out the good in people.
For a slim figure, share your food with the hungry.
For beautiful hair, let a child run his or her...
Kina dada tumezidi kulalamika kuhusu kaka/baba/waume/wapenzi wetu....kwanzia majumbani mpaka hapa jamvini!!Ohh mnatusema vibaya...hamtujali...hamtuheshimu and so so.....
Ila tukiacha mabaya...
wadau mi si mzoefu sana wa mapenzi lakini nimegundua kitu ambacho labda na wengine ambao pengine ni wazoefu linaweza kuwasaidia, hata walio kwenye ndoa.
Tulipoanza mahusiano ya kimapenzi na...
Hivi chumba cha fungate kinatakiwa kiweje?Hiki ni chumba kilichotumiwa na wanandoa fulani kwa ajili ya fungate yao yaani honey moon!!!Kuna sababu gani zinazowapelekea kuchukua chumba cha vitanda...
Salamu kwenu wadau wote wa stress-free forum (mmu),
kuna kipindi huwa tunahisi kuwachoka wake/waume au wapenzi wetu.
Inasemekana kuwa katika kila mwaka lazima uexperience hiyo hali lakini huwa...
Biggest turn-offs for women (KAMA HUTAKI KUMWAGWA MSAADA HUO)
Talking to our boobs Er hello? Our eyes are up here you know.
Filthy bathrooms and toilets if youre going to invite us...
Natafuta marafiki wa kike TU ONLY!Regardless of dini,kabila,kipato etc..BUT aliyepevuka.
I've been analysing myself nikaja kugundua ya kuwa kuna kitu nina miss, nacho ni marafiki wa...
Jamani . . .
Leo nimejisikia kupost ka wimbo ka kilugha kabila fulani hivi, wanapenda kukaimba wakati wa sherehe hasa harusi na sendoff . . . .
Yaani wanavyocheza wananiburudisha kweli mpaka...
Nawasalimuni nyote ndugu zangu!!
All about Ave ni tamthilia ambayo hurushwa na star tv, imejaa visa, mapenzi na usaliti!! imeigizwa na wasanii mahiri na kila mmoja akiicheza vema sehemu yake...
Kikweli ninawasoma japo kijuujuu katika mabandiko yenu. Kuna tatizo nimegundua. Mnahusudu sana kutafutwa wakati shida ni yako. Mbona kuna mabandiko ya wanaume wakitaka wenza hamuwatafuti mnasubiri...
Hii safu bwana inamambo na vijimambo kibao.Hii sio story ila niliipata kwenye primary source.
Unanjua nini?kuna watu bwana especially wanaume flani flani hawawezi kusafiri mbali na wapenzi wao...
Waliweza kufurahikia uzawa wako baada ya kuwafikia ukiwa salama. Ndipo hapo majukumu yaliyokuwa yanawakabili yalipowaongezekea. Hata hivyo waliweza kuweka azama ya kutaka kukufanyia yaliyo bora...
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe...
Kwa wadada wenzangu....wanasema experience is the best teacher....leo tu share experience na tupeane ushauri......
Wengi wetu tutakuwa tumekutana na wanaume ambao mimi ninawaita wanaume malengo...
I had a guy ambae alikuwa anapenda jambo moja zaidi katika mahusiano, so nikawa namwambia "stop being a bad man" akawa hanielewi, akasema yeye ni good man. Baadae nikapata neno nikawa namwambia...
Wana JF leo asubuhi nimeshudia kisa kimoja, Jirani yangu mpangaji mwenzangu ambeye ni Nesi amevamiwa na mke wa mfanyabisha mmoja na kufanyiwa Vurugu kwa kuambiwa "toka we malaya nikushikishe...
Wawili wanaoitwa wapendanao wameoana kwa sherehe na vifijo,sasa mmoja au wote wanatoka nje ya ndoa.Swali kwa nini watoke nje ya ndoa?Wamechokana au kuna tatizo baina yao?Ndo watoke nje ya...
Mara nyingi hua inatokea kwamba watu wanaona/chukulia vitu zaidi ya vilivyo (READING TOO MUCH INTO SOMETHING).
Kwenye mapenzi mara nyingi tunalalamika ''nilidhani ananipenda sasa inakuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.