Dah jumatatu hii nimekaa ki I love you I love you!!!
Natamani kumwambia mtu na nnatamani kuambiwa nakupenda...nakupenda...nakupenda!!
So popote pale ulipo Mr Prince Charming a.k.a Mr Right I...
Je, imewahi kutokea ukawa na mgogoro na mfanyakazi mwenzako au hata kundi fulani la wafanyakazi wenzako,bosi wako nk? Je, umewahi kushuhudia wafanyakazi wenzako wakiwa katika mgogoro au...
Mama!
Nakuheshimu mama.
Umetoka shamba, umechoka, umembeba mdogo wangu mgongoni na ujauzito. Jembe lako hukuacha shambani, umeleta kuni na mboga za majani. Mimi ndo nimerudi shule, sijala na...
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
Do you believe that your bedroom life is on an all time high, thanks to the immense knowledge you have about sex? Well, we bring you seven never-heard-before facts about the 'S' word, which are...
Leo nataka niwaunge mkono wanawake katika harakati zao za kujikomboa na mfumo dume. Hivi kwa nini wanaume tunapenda kuwa juu kwa kila jambo?? Ni juu juu juu tu kila jambo. Mmhhh, siyo fair jamani...
Yani unaweza ukajikuta unakosa amani moyoni, ukifikiria ulicho kifanya hukioni!!! Lakini moyo umeinama, huna furaha, yani hujachangamka kwa ujumla.
Lakini ukiangalia umekosea wapi huoni...
Hello ladies,
I hope some of you watakuwa wameshaiona hii but naomba nishee nanyi tena. Mie Imenigusa sana kwa kweli.... God forbid but kama itatokea nitaiapply... puuuu...metema mate chini...
Salaam wanaJF!
Naomba mwenye kufahamu wapi ninaweza kupata pete nzuri za ndoa. Natafuta pete za silver au white gold. Sasa sifahamu mahala pazuri na pa uhakika pa kupata pete izo...
Uko na mpenzi wako kwa muda mrefu. Baada ya muda girlfriend anakwambia she is expecting a baby. You get confused because rafiki yako wa karibu alikwambia that she had been cheating on you. To make...
KWA UCHUNGUZI WANGU TUNAPOONGELEA WASICHANA WAZURI; KUNA UZURI WA AINA MBILI:-
1. UZURI WA MUONEKANO (KWA MFANO UTASIKIA WATU WAKISEMA "JAMANI YULE DADA AMEUMBIKA!! YAANI KWA KWELI MUNGU...
WanaJF naombeni maoni au ushauri nifanyeje kuhusu hili.
Niko kwenye uhusiano wa miaka 6 sasa na nimezaa na huyu kijana,ninampenda sana na yeye analijua hilo,tatizo ni kwamba kwa muda wote huu he...
s,alykm :hand:wapenzi wangu wooote wa jf.... akhbari zenu jamani?? ni wiki tena sijawaoneni ... mie sina news ila nimewamiss sana sana.... inshallah nawatakieni siku nzuri....
from...
Ni uchokonozi tu! Lakini nashindwa hata kufikiria manake pamoja na kuwepo kwa ukimwi, bado ngono inafanywa tena 'ngono zembe' waziwazi tena kwa sana kana kwamba haupo.
I have gone through Dumelambegu Thread which tries to seek opinions from JFmembers as to why most of the extremely beautiful women remain single indefinitely. Most of them do not simply get...
Ukiachana na walevi the second worse is IT Partners(according to me). they are most busy partners ever, hawatumii muda mwingi na wapenzi wao,anaweza kuwa yupo ndani 24/7 physically but not...
Kila kukicha kinamama wana MMU kazi kutusimanga,sasa leo na mimi ngoja niwatolee uvivu.Kinamama mnatukera kwa haya yafuatayo:
1.Utegemezi: Unambeep mmeo/hawara/bf,nini mama?unamuuliza, 'naomba...
Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba...
Kwanza nianze kwa kutahadharisha kuwa kwa thread hii sina nia ya kuwa-abuse wanawake, wala kuwavunjia heshima.
Nawapa somo wanaume wenzangu out there ambapo mara kwa mara nawasikia na wengine...
Nimejitahidi kila hali kumtafuta mwenza bt cpati,nime2mia kila aina ya ujanja wangu lkn cjafanyikiwa,najiona mtanashati mzuri lkn cjui ni kwa nini wanawake hawanitaki,nisaidieni jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.