Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari zenu wadau! Kuna Dada mmoja nilisoma nae chuoni nikawa nampenda sana,nikamtongoza ila akadai anahitaji muda ili aamue,baada ya muda akaniambia kuwa anahitaji muda zaidi ili amalizie...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau poleni kwa majukumu. Bila kupoteza muda napenda kuwaomba ushauri wenu kuhusu muda muafaka wa wapenzi wawili kuwa katika uchumba.Nina umri wa miaka 27. Nipo katika kipindi kigumu mimi na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa kweli ni mgeni kwenye safu hii ya JF, lakini naomba ushari. Kuna msichana tulikubaliana kuoana, tumeshatambulishana na nimemchumbia tayari, kwa bahati nikapata safari ya ughaibuni hafla...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi...
0 Reactions
105 Replies
28K Views
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli uswahilini kuna mambo,juzi umeme ulikatika c mnajua 2po kwenye mgao,sasa kipindi wanachakachuana demu akawa anapiga kelele na pia KUMSALIMIA MSHIKAJI WAKE SHIKAMOO!SHIKAMOO!SHIKAMOO!yaani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu amenisimulia kisa kinachomuhusu yeye na demu wake,mshikaji yeye ana kaa kwao yaani bado yupo kwa wazazi ila demu wake anafanya kazi na amepanga chumba,tatizo ni kuwa mshikaji...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakuu, Heri Inapatikana? Natumaini nyote ni wazima......! Teamo anaenda straight kwenye hoja......!Na ujumbe huu uwafikie ''wenye ndoa zao'',mkubali msikubali potelea mbali,mimi nawapa...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Ladies! Tuseme umepewa options hizo Mbili tu,ni Mume au Mwanaume gani utachagua kwenye hizo vice mbili kati ya Womaniser au Alcoholic? NB: weekend imeanza,any plan?
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ninachowaomba wana JF Wakristu ni kujitahidi katika mfungo huu unaoanza leo kuishi maisha yanayo mpendeza Mungu. Ingawa twapashwa kuishi maisha ya utauwa kila siku, udhaifu wetu hutuvuta kutenda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu,hivi ni vibaya kum-miss Ex wako?Utakuwa humtendei haki mke/mume au Boyfriend/girlfriend wako wa sasa?:wink2::wink2:
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Jamani na wakumbuka madada wa warsaw mko wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
yes... Cheaters need love too
0 Reactions
79 Replies
5K Views
Marafiki ni sehemu muhimu sana kwenye maisha ya kila mmoja wetu.Kila siku tunashauriana ishu za mapenzi..tunapeana tahadhari na kushauriana pia kufarijiana ila nadhani swala la urafiki hatulipi...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Jana nilibahatika kusikiliza kipindi cha daladala, moja mada ilizunguzia juu ya upendo wa wazazi kwa watoto, Wengi walichangia kwa namna tofauti na kunawengine ambao walidiriki kusema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A FUNDAMENTALIST church pastor had sex with two of his teenage daughters to educate them on how to be good wives, a South Australian court has heard. The 54-year-old man, who cannot be named, was...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nitangulize shukrani kwa mwenyezi mungu kutuweka hai; nilipotelea maporini na miji mbalimbali ya nchini na kwa majirani zetu wa afrika mashariki! Niliwamiss kiukweli na ninafuraha nimerejea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yawezekana ni mmoja wa waliongia kwenye kitanzi cha maisha ya ndoa takatifuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yenye shida na raha ndani yake la hasha pole sana ..yawezekana na wewe nn mmoja wale walio kwenye...
1 Reactions
4 Replies
17K Views
Kwa huu ulimwengu wa usawa, kuna marais wanawake na watakuja wengi tu miaka inavyokwenda Kwa sasa tuna "First Ladies" na wanatanua kweli kweli kwa mamlaka ya waume zao wenye mamlaka, lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna rafiki ambaye at one tym alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi moja and I feel indebted to her for how she assisted me.Anaolewa next month lakini as much as I want to be there circumstances...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom