Habari JF!
Wanajamvi msaidieni hiyu ndugu yetu!
Amenieleza kwa urefu shida yake kuhusu dada mmoja ambae anachukua degree yake chuo kimoja humu Tanzania.
Mambo yao yalikua kama hivi:
Dada...
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata...
Kwa nnavyoelewa mimi neno ''gubu'' hua linatumika kuongelea ile hali ya mtu kukumbushia makosa au kutosahau kwa maana nyingine.Wanaosemwa kwa kua na gubu mara nyingi ni wanawake.Wanaume hawachoki...
Nina tatizo sugu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mdada na nimekulia kwenye familia ya Kikristo sana na hadi namaliza Form 6 simjui mwanaume nimekuja kumpata nikiwa chuoni. sasa nikapata Bf na...
Hivi mapenzi ya kweli bado yapo au kunalongolongo tu na wizi mtupu
wa kupotezeana mda? Maana mie mwenzenu sielewi naona kizungumkuti tu
na hekaheka huku mitaani. Leo wanaoana kesho wanaachana...
habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya kutwa. Jamani hebu tusaidiane kwa hili, kwa asilimia kubwa baadhi ya wanaume hupenda kuchelewa kurudi nyumbani, hivi ni muda gani ambao mwanaume anapaswa...
When you see a woman... And want her badly.. Please consider the following....
No matter how beautiful she is.....
No matter how sexy she is...
No matter how seductive she is...
No matter how...
Hivi utafanyaje?umeishi na mkeo ktk ndoa,mkajaliwa kupata watoto watatu.Siku moja bahati mbaya unapata ajali na kuumia sana sehemu za mgongoni.Daktari anakucheki na kugundua huwezi kuzaa tena...
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia...
A newfound or increased interest in their appearance. This can mean theyre trying
to impress someone. Look for things like a new interest in working out or buying new
underwear.
A change in...
Nimeulizwa swali na mdada mmoja inaelekea kuna shida amempata (sikupenda kudadisi zaidi) na sijampa jibu kamili.
Mara nyingi na inaendelea kutokea hadi leo kwamba kwenye mahusiano kukawa na ugomvi...
Nimejiunga nami nyakanga wa jando babu kijana nimefurahi nami kuwepo kundini kwa wahenga wa jamii hii ni changa moto nipokeeni nami ni mmoja wa makungwi wazuri wa vijana wa kileo tuwaelimishe na...
What makes a relatinship?
How do u know theres is relatinhsip btn two ppl?
sex and gender orientation
what are forces that operates betn or within coples relationship
Managing...
Habari wanajf
napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)"
mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana...
Kweli wanaume tunatofautiana, unakuta eti Mwanaume anampigia simu demu anapiga naye story kwa masaa manne hadi sita. Story zinazopigwa ni kuhusu Birthday, mahusiano, nguo za rangi gani zinavutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.