Habari wana JF, naomba mchango wa mawazo yenu. Kuna kaka ameoa na familia ya watoto 2, mke wake ni mfanyakaz pia anasoma evening classes. Tatizo huyo bibie hapatikani home kuanzia monday to...
Nimefanya kautafiti kadogo na kugundua ukitaka 'kumlamba' binti mrembo aliyeshika dini basi mwambie ''lengo langu si kukuchezea na mungu akipenda tuta....halafu hapa unaanzisha kikohozi cha ghafla...
Everyone is bound to cheat on their spouse one time or another. Chance
comes to all. Opportunities abound for all to seize. Admittedly,
cheating is sweet (stolen bread is sweet). While some will...
wadau naomba mnisaidie kwenye hili..
Nimejaribu kuchunguza na nimegundua kitu katika kizazi hiki cha sasa cha watoto wa kike, ukweli ni kwamba watoto wengi wa kike wanaozaliwa miaka hii hasa...
Kuna bima mpya imeanzishwa, inaitwa Bima ya Talaka au kwa kimombo "Divorce Insurance". Hii bima inasaidia kupunguza gharama mbalimbali zinazotaokana na talaka, kama vile gharama za kuajiri...
Najiuliza maswali mengi kuhusu hili neno nakupenda, huwa tunalitumia sana lakini likija swali la sababu ya kupenda, huwa tunajikanyaga kujibu mara sijui tabia yako, mara uzuri, unapika vizuri na...
Huwa tunapenda kujibu tu, ooh mi nampenda sana mke/mume wangu, kwa sababu ni mke/mumeo. Hivi umeshawahi kuliwaza kwa undani... Mi nimefanya hivyo... na nadhani nampenda mke wangu.
Jamani kama kuna jambo linalonikera basi ni hii tabia ya kutumia majina ya viungo nyeti vya wanawake kutukana. Utakia mtu bila aibu mbele ya hadhara anamtukana mwenzie eti k.... mamako. Ajabu ni...
have you ever loved somebody so much it makes you cry?
have u ever needed something so bad you cant sleep at night?
have u ever tried to find the words but they dont come out right?
have u...
Mimi ni member wa facebook,nimekuwa nikikutana na watu tofauti katika facebook,facebook imeniunganisha na watu tofati wakiwamo ndugu zangu ,rafiki zangu tulisoma shule pamoja,pia new friends...
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani...
WanaJF wenzangu
Jaribu kumuuliza kijana wa sasa umri wa 20 hadi 35 bima yake ktk mapenzi ni nini?? Atawezaje kujiamini na kujihakikishia kuwa mpenzi aliyenaye hatamuacha???
Nane kati ya vijana...
Jamani nimekutana na watu wengi sana sasa wanaoamini kuwa
familia zinazoanza na first born msichana huwa zinapata bahati au baraka zaidi hasa
kwenye kipato......
Katika mazungumzo na...
It's serious business when one partner breaks the bond of marriage by cheating, but is it possible to move past the betrayal and stay in a "pretty happy" marriage in the wake of an affair? Redbook...
Habari za Ijumaa wana JF wenzangu
Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku
Leo nina kitu kidogo cha kusema kwa wanawake kuhusu wanaume ktk mapenzi
Changamoto kubwa kwenye...
Hizi teknolojia zinaleta mambo.
Dogo anatumia jina la baba yake kwenye facebook yake matokeo yake mama mmoja wa makamo ambae nae ni memba wa facebook katika pitapita yake akakutana na facebook...
Ndugu wanajamvi heshima kwenu.
Ndugu wanajamvi naombeni ushauri juu ya jambo hili ambalo limekuwa kama mzigo kichwani kwangu. Nina rafiki zangu wawili mmoja anafanya biashara za kusafiri na huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.